Horoya fan
Member
- Mar 13, 2023
- 79
- 253
Akiulizwa na mwandishi wa Grobal online Tv juu ya mapenzi yake kwa Simba, Mohamedi Dewji amejibu.
"Mimi naipenda sana Simba, Mimi ni shabiki wa Simba na huwa naumia sana pindi timu ikipata matokeo mabaya hasa kwenye mechi kubwa".
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia sana”.
Je Mwanasimba ulifanya nini baada ya kipigo cha Raja? Kama tajili alijifungia kwny gari na kuanza kulia wewe Ulienda kulilia chooni au uvunguni?