Mo Dewji: Tulipofungwa na Raja nililia sana ndani ya gari

Akiulizwa na mwandishi wa Grobal online Tv juu ya mapenzi yake kwa Simba, Mohamedi Dewji amejibu.

"Mimi naipenda sana Simba, Mimi ni shabiki wa Simba na huwa naumia sana pindi timu ikipata matokeo mabaya hasa kwenye mechi kubwa".

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia sana”.

Je Mwanasimba ulifanya nini baada ya kipigo cha Raja? Kama tajili alijifungia kwny gari na kuanza kulia wewe Ulienda kulilia chooni au uvunguni?

Mpira una matokeo matatu
Sare/suluhu
Kufunga/kushinda
Kufungwa/kushindwa
Siku hazifanani na hakuna duniani timu ya mpira ambayo haijapitia hayo matokeo
 
Akiulizwa na mwandishi wa Grobal online Tv juu ya mapenzi yake kwa Simba, Mohamedi Dewji amejibu.

"Mimi naipenda sana Simba, Mimi ni shabiki wa Simba na huwa naumia sana pindi timu ikipata matokeo mabaya hasa kwenye mechi kubwa".

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia sana”.

Je Mwanasimba ulifanya nini baada ya kipigo cha Raja? Kama tajili alijifungia kwny gari na kuanza kulia wewe Ulienda kulilia chooni au uvunguni?

Kuna matukio machache sana ninanayo yafahamu, na ambayo yanaweza kumsababishia mwanume kulia. Na kwa bahati mbaya, katika hayo matukio yote; hili la timu yako kufungwa na timu nyingine, halipo.
 
Back
Top Bottom