Mo Dewji: Tulipofungwa na Raja nililia sana ndani ya gari

Horoya fan

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
79
Reaction score
253
Akiulizwa na mwandishi wa Grobal online Tv juu ya mapenzi yake kwa Simba, Mohamedi Dewji amejibu.

"Mimi naipenda sana Simba, Mimi ni shabiki wa Simba na huwa naumia sana pindi timu ikipata matokeo mabaya hasa kwenye mechi kubwa".

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia sana”.

Je Mwanasimba ulifanya nini baada ya kipigo cha Raja? Kama tajili alijifungia kwny gari na kuanza kulia wewe Ulienda kulilia chooni au uvunguni?

 
Huyu Mo ni mtoto wa kishua kweli kweli, yaan unalia kisa team yako imefungwa daaaahh, mtoto wangu akifanya hivyo ntamchapa khamza 10 za kijerumani
 
Kuipenda club ya football toka ukubwani kwa Tanzania ni kitu nisichomwelewa mpendaji yaani,
Labda kwenye zile nchi ambazo league yao clubs zinapanda, kisha zinashuka na kutoweka mazima!

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia sana
Sasa umebet kwa Tambo na majigambo ukatia mpunga Simba ifunge afu inafungwa unategemea nini km sio kulia?
 
Ikiwa tunaamini bongo movie ilikufa na kanumba.Ubunifu ,uhalisia na uwekezaji utakaoenda sambamba na teknolojia tumeshindwa kukimbizana navyo.Vyote hivyo havitoshi kusema bongo movie Wanafeli bila kusema watu aina ya Mudy ni sababu mojawapo ya kufa maigizo hasa upande wa vichekesho.

Sasa kwa hali hii maigizo ya kweli watatoboa kupitia wapi.?Mudy aache maigizo ya kitoto kama wale watafuta kick . Huyu kanji wa mchongo katika biashara zake na uwekezaji kwenye makampuni kibao chini ya mwavuli wa metl kulipojaa unyonyaji na ukandamizaji usioelezeka.Tukio la kutekwa na baada ya kuachiwa vyote hivi hajawahi kusema hadharani.Ikija ishu ya Simba tena akiona hela za CAF zipo mlangoni anaibuka na madai

Makolo fc sanukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…