Mo Faya nimepata Combination murua. Ni mwendo wa Mo Faya na Diamond Karanga

Mo Faya nimepata Combination murua. Ni mwendo wa Mo Faya na Diamond Karanga

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
Sikuwahi kutumia Diamond Karanga tangu amezindua, Sasa Alikiba kazindua Mo Faya nimepata Combination murua. Ni mwendo wa Mo Faya na Diamond Karanga. Safi sana vijana wetu, hata wakisema vilishazinduliwa au nyie mmetumika kama brand tu sawa.

Kwani wangapi hawajapata hiyo nafasi.?

Swali je? Ni kwa namna gani hawa vijana wataitanganza Nchi yao na katika kumake Money??
 
Back
Top Bottom