Mo hapoi wala haboi huko Simba.....

Mo hapoi wala haboi huko Simba.....

MO ni mjanjamjanja kawashika mbumbumbu fc, MO hanampango wa uwekezaji wa kweli kwenye mpira wa miguu, Kawazuga Simba kwa hosteli ambazo hazijazidi milioni 500.

Niwakimbushe MO alishindwa pale Singida, akainunua African Lyon ikamshinda sasa anaitumia Bland ya Simba kiulaiiin na kunufaika na biashara zake uku wenyewe Mbumbumbu wakiamini wamepata mwekezaji.MO hawezi kuthubutu kununua mchezaji wa dola laki na hamsini alafu mbumbumbu wanahisi wanamwekezaji.

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
 
Hii ni lugha ya mpira, baada ya kukomaa siyo ile eti, tunataka kuwa level ya TP MAZEMBE , AL AHLY. !

Kwa tamko hili ni sawa, yaani fikra ni VPL na kuwa timu inayobahatisha bahatisha KIMATAIFA kuendana na upepo wa ratiba inambebaje?

Wachezaji waliopo Mikia siyo wa kuweza kuipambania timu nje ya nchi , bado ni wale wa kurukaruka pale Taifa na ujanja ujanja fulani.

Lkn nje ya Taifa kwenye viwanja vya watu unashangaa uwanja kuinama muda wote mpaka 5 zifike.

Nayaona majibu haya ni baada ya kikohozi cha GSM .
 
MO ni mjanjamjanja kawashika mbumbumbu fc, MO hanampango wa uwekezaji wa kweli kwenye mpira wa miguu, Kawazuga Simba kwa hosteli ambazo hazijazidi milioni 500.

Niwakimbushe MO alishindwa pale Singida, akainunua African Lyon ikamshinda sasa anaitumia Bland ya Simba kiulaiiin na kunufaika na biashara zake uku wenyewe Mbumbumbu wakiamini wamepata mwekezaji.MO hawezi kuthubutu kununua mchezaji wa dola laki na hamsini alafu mbumbumbu wanahisi wanamwekezaji.

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
Doooh!!! Haya maneno naomba wayasome hawa Majamaa ambao sidhani kama wanayajua yote haya.

Sesten Zakazaka
Penison
Troisième Ceil
Mnazareth
 
Me ni mshabiki wa Simba ila hii kauli aliyoongea mo naikataa kwa asilimia [emoji817] hiv mo anaweza kumsajili Messi?hapa Africa kwenyewe kashindwa kumpata Jackson Muleka wa Tp Mazembe ambaye usajili wake si chini ya 1Billion na mshahara wake si chini ya million 80
Yuko sahihi, atasajili yeyote wa kiwango cha simba na siyo hao unaowataja ambao wanazidi kiwango cha simba.
 
Mo aache ubahili wa kijinga Okwi alishindwa kumpa mkataba mpya kisa anadai pesa nyingi mpira wa sasa ni pesa avunje benki asajili
Eti Okwi!!!! Acha kaubudu watu kijana. Mchezaji gani yule wa nataka sitaki? Alikuwa msumbufu bila sababu, afadhali alipoachwa aondoke.
 
Eti Okwi!!!! Acha kaubudu watu kijana. Mchezaji gani yule wa nataka sitaki? Alikuwa msumbufu bila sababu, afadhali alipoachwa aondoke.
Wewe ndio unaabudu alitaka awekewe mzigo Okwi hakuondoka Simba sababu kiwango kimeshuka bali ni kutokubaliana kimasilahi angalia wachezaji waliosajiliwa ni wangapi wameingia kikosi cha kwanza ukiondoa Deo Kanda na Kahata waliobaki wanesugua benchi
 
Sisi tunataka aweke ule mzigo 20b sio kuwazuga hao Mbumbumbu/Bodaboda FC na Mo anajua kucheza na akili zao hao Mikia na ndio maana hata uwanja wa mazoezi anauita Mo Arena simba huna kitu pale hiyo ni mali ya mwenyewe na ataondoka ba uwanja wake
 
Ushauri wangu,
Kiwango cha timu ya Simba bado ni kidogo sana ki Afrika.
Kwakuwa Bajeti yetu ya Usajiri bado ni ndogo,
Napendlekeza Kamati ya Usajiri ya Simba sc, ielekeze macho katika Ligi ya Afrika Kisini.
Kuna wachezaji wanaachwa kwenye ligi ya Afrika jus ni ambao tunaweza kuwasajiri kwa pesa ndogo na wakatusaidia kimataifa.
Ligi inayo waacha wachezaji kama, Morrison, Kotei, Maquissone, kwetu sisi Wabongo inaweza kutupa wachezaji wa kuanzia.

Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom