Naona anawaweka sawa kuwasahaulisha zile 20B. Lol
Doooh!!! Haya maneno naomba wayasome hawa Majamaa ambao sidhani kama wanayajua yote haya.MO ni mjanjamjanja kawashika mbumbumbu fc, MO hanampango wa uwekezaji wa kweli kwenye mpira wa miguu, Kawazuga Simba kwa hosteli ambazo hazijazidi milioni 500.
Niwakimbushe MO alishindwa pale Singida, akainunua African Lyon ikamshinda sasa anaitumia Bland ya Simba kiulaiiin na kunufaika na biashara zake uku wenyewe Mbumbumbu wakiamini wamepata mwekezaji.MO hawezi kuthubutu kununua mchezaji wa dola laki na hamsini alafu mbumbumbu wanahisi wanamwekezaji.
Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
Chura FC bana wanawasafirisha wachezaji wao kwa malori mara wapitie soko la mahindi Kibaigwa, mara wapi sijui! Hawajamaliza wanakuja kuulizia ya Lunyasi! Hamtayaweza bana Shadeeya maji marefu yaleDoooh!!! Haya maneno naomba wayasome hawa Majamaa ambao sidhani kama wanayajua yote haya.
Sesten Zakazaka
Penison
Troisième Ceil
Mnazareth
Yuko sahihi, atasajili yeyote wa kiwango cha simba na siyo hao unaowataja ambao wanazidi kiwango cha simba.Me ni mshabiki wa Simba ila hii kauli aliyoongea mo naikataa kwa asilimia [emoji817] hiv mo anaweza kumsajili Messi?hapa Africa kwenyewe kashindwa kumpata Jackson Muleka wa Tp Mazembe ambaye usajili wake si chini ya 1Billion na mshahara wake si chini ya million 80
Kocha ampelekee jina la Mesi.View attachment 1472939
Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.
Eti Okwi!!!! Acha kaubudu watu kijana. Mchezaji gani yule wa nataka sitaki? Alikuwa msumbufu bila sababu, afadhali alipoachwa aondoke.Mo aache ubahili wa kijinga Okwi alishindwa kumpa mkataba mpya kisa anadai pesa nyingi mpira wa sasa ni pesa avunje benki asajili
Wewe ndio unaabudu alitaka awekewe mzigo Okwi hakuondoka Simba sababu kiwango kimeshuka bali ni kutokubaliana kimasilahi angalia wachezaji waliosajiliwa ni wangapi wameingia kikosi cha kwanza ukiondoa Deo Kanda na Kahata waliobaki wanesugua benchiEti Okwi!!!! Acha kaubudu watu kijana. Mchezaji gani yule wa nataka sitaki? Alikuwa msumbufu bila sababu, afadhali alipoachwa aondoke.
Hata sio kweli, ameshatoa zaidi ya hizoNaona anawaweka sawa kuwasahaulisha zile 20B. Lol
We danganywa tu Mtani.Hata sio kweli, ameshatoa zaidi ya hizo
Haha dadaWe danganywa tu Mtani.
Haya , subiri makombe msimbazi Mara kumi mfufulizoWe danganywa tu Mtani.