Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mawazo yako..ila ni vema ukamuuliza MO mwenyewe.....atakupatia jibu mujarabu.......Nauliza tu maana kila mchezaji anaonekana anaongeza mkataba ofisini kwake na sio ofisini kwa club
Je watendaji hawaaminiki ama ni janja kuwa wachezaji wanaingia mkataba na mo mwenyewe kama yeye ili hata simba wakimzingua anatoka na wachezaji wake?
Kwa hiyo Mo ni Mfadhili au Rais wa Mikia?Niswara la kawaida hata raisi wa team ya Real Madrid asha wahi kufanya hicho kitu so sioni chaajabu hapo mambo yakawaida katika soka : ushauri nikwamba vyura mkifatilia maswala ya simba mtashaanga hata hatua ya makundu kwenye kombe la club bigingwa Africa hamta fika mtabaki mnasimuliwa huku Mnyama anazid kuchanja mbuga
Nakazia tena vyura atabaki kua viti maalu :anaebisha aweke kikata gogo mbele yangu mm Nina rungu
View attachment 1126478
Nakazia tena vyura atabaki kua viti maalu :anaebisha aweke kikata gogo mbele yangu mm Nina rungu:Nazan ungenielewa iyo sentensi yang hapo usinge ni QUOTEKwa hiyo Mo ni Mfadhili au Rais wa Mikia?
Hela ni za kwake. Hata akiamua wakasainie India ni sawa tu.Nauliza tu maana kila mchezaji anaonekana anaongeza mkataba ofisini kwake na sio ofisini kwa club
Je watendaji hawaaminiki ama ni janja kuwa wachezaji wanaingia mkataba na mo mwenyewe kama yeye ili hata simba wakimzingua anatoka na wachezaji wake?
Mdau umepaniki........Na wewe kama huna majibu unafunga domo lako unasubi wenye uwelewa kukushinda wewe wakaleta