Mo hawaamini watendaji wa simba?

Mo hawaamini watendaji wa simba?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nauliza tu maana kila mchezaji anaonekana anaongeza mkataba ofisini kwake na sio ofisini kwa club
Je watendaji hawaaminiki ama ni janja kuwa wachezaji wanaingia mkataba na mo mwenyewe kama yeye ili hata simba wakimzingua anatoka na wachezaji wake?
 
Hayo ni mawazo yako..ila ni vema ukamuuliza MO mwenyewe.....atakupatia jibu mujarabu.......
 
Na wewe kama huna majibu unafunga domo lako unasubi wenye uwelewa kukushinda wewe wakaleta
 
Niswara la kawaida hata raisi wa team ya Real Madrid asha wahi kufanya hicho kitu so sioni chaajabu hapo mambo yakawaida katika soka : ushauri nikwamba vyura mkifatilia maswala ya simba mtashaanga hata hatua ya makundu kwenye kombe la club bigingwa Africa hamta fika mtabaki mnasimuliwa huku Mnyama anazid kuchanja mbuga

Nakazia tena vyura atabaki kua viti maalu :anaebisha aweke kikata gogo mbele yangu mm Nina rungu
Screenshot_2019-06-13-16-23-10.png
 
View attachment 1126478
Kwa hiyo Mo ni Mfadhili au Rais wa Mikia?
 
Nakazia tena vyura atabaki kua viti maalu :anaebisha aweke kikata gogo mbele yangu mm Nina rungu:Nazan ungenielewa iyo sentensi yang hapo usinge ni QUOTE
 
Nauliza tu maana kila mchezaji anaonekana anaongeza mkataba ofisini kwake na sio ofisini kwa club
Je watendaji hawaaminiki ama ni janja kuwa wachezaji wanaingia mkataba na mo mwenyewe kama yeye ili hata simba wakimzingua anatoka na wachezaji wake?
Hela ni za kwake. Hata akiamua wakasainie India ni sawa tu.
 
Write your reply...Hilo analofanya Mo ni sahihi kabisa.Mambo ya 10% hakuna tena.Na ule ujinga wa kutuletea watu kama Mavugo,Zana na Jama Mba hakina tena.
 
Back
Top Bottom