Mo Ibrahim anukia jangwani,kigogo wa yanga atikisa kiberiti msimbazi

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Kessy
Ajibu
Mo ??? Je itafanikiwa

Dogo hana bahati..ila ni moja ya mafundi katika kizazi cha sasa...huku Mo kule faisal toto itapendeza
 
Dogo hana bahati..ila ni moja ya mafundi katika kizazi cha sasa...huku Mo kule faisal toto itapendeza
Naomba nikumbushe feisal toto wa timu gani vle? nakumbuka kuna game yanga tulicheza na timu siikumbuki muda wote anatajwa yy tu!
 
Naomba nikumbushe feisal toto wa timu gani vle? nakumbuka kuna game yanga tulicheza na timu siikumbuki muda wote anatajwa yy tu!
Nakumbuka anatoka Zanzibar huyo Dogo Faisal na aling'ara sana kwenye Mapinduzi Cup. Aliwasumbua sana Yanga!!!
 
Aende tu, Asipopunguza utovu wa nidham atakua kama Luhende, Bahanuz nk
 
Akienda huko akabadilike la sivyo mambo yale yale yatajirudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…