Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nikumbushe feisal toto wa timu gani vle? nakumbuka kuna game yanga tulicheza na timu siikumbuki muda wote anatajwa yy tu!Dogo hana bahati..ila ni moja ya mafundi katika kizazi cha sasa...huku Mo kule faisal toto itapendeza
Nakumbuka anatoka Zanzibar huyo Dogo Faisal na aling'ara sana kwenye Mapinduzi Cup. Aliwasumbua sana Yanga!!!Naomba nikumbushe feisal toto wa timu gani vle? nakumbuka kuna game yanga tulicheza na timu siikumbuki muda wote anatajwa yy tu!
YondanKessy
Ajibu
Mo ??? Je itafanikiwa
![]()