Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

Hata msimu uliopita kiongozi kuna mechi viwanja viliharibu mpira na watu walilisemea kaka. Turudi na.kusimamia ukweli uwanja haukuwa rafiki na kwa mugalu mimi.sijamponda kutokana na hali.ya.juzi.maana imetokea hivyo.

kikubwa ni.timu kujitadhimini.ziadi.na kufanyia.kazi mapungufu yaweze kurekebishika na timu isimame vzr katika kutafuta matokeo popote pale na.

Hawaja fungwa leo japo.hawajafunga nao.sio.mbaya pia baishara wapo.vzr ndio.mpira
 
Mechi ya kwanza ya ligi kama ndio bingwa anapatikana kwa kushinda hiyo apewe kombe.
Mbeya kwanza wameshinda jana.ugenini je tuseme ni bora kuliko mtibwa..? Bado.mapema au costal union ni bora kuliko azam bado ni.mapema saana
 
Mbeya kwanza wameshinda jana.ugenini je tuseme ni bora kuliko mtibwa..? Bado.mapema au costal union ni bora kuliko azam bado ni.mapema saana
Labda mbeya kwanza jina ndo linakuchanganya lakini ni timu yenye wachezaji wazoefu sana na kama uliangalia mpira wa jana mtibwa hakucheza vizuri kabisa.
 
Ila mashabiki wa Tanzania tuna dunia yetu kwa hyo we unaona tungemsajili juma na aucho tungefika final caf champion's league
 
Gari likiwaka.mtaanza kusifia hakuna kitu utafanya kila.siku wewe ushinde wewe tu haaahhhh. Tujifunze kuwa na subira. Katika imani subira ni tiba. Simba haija anza vibaya hii ligi imeanza vzr na uwanja umewaharibia plan zao leo.
League ni jinsi unavyomaliza sio unavyoanza. Yanga mwaka jana waliongoza almost 90% ya msimu wa 20/21 lakini Ubingwa ulienda Msimbazi
 
League ni jinsi unavyomaliza sio unavyoanza. Yanga mwaka jana waliongoza almost 90% ya msimu wa 20/21 lakini Ubingwa ulienda Msimbazi
Mwaka jana game mbili za mwanzo tulianza vibya kwa kuooteza zote na tukabeba ubingwa
 
Ila mashabiki wa Tanzania tuna dunia yetu kwa hyo we unaona tungemsajili juma na aucho tungefika final caf champion's league
Ubaya wao wametolewa hatua ya mwanzo tena kwa kipigo cha nyumbani na ugenini
 
Labda mbeya kwanza jina ndo linakuchanganya lakini ni timu yenye wachezaji wazoefu sana na kama uliangalia mpira wa jana mtibwa hakucheza vizuri kabisa.
Kutokucheza vzr kwa mtimbwa kwa mechi moja hatuwezi.kusema mtimbwa ni mbovu mwisho wa msimu ndipo tutafanya tadhmini.inayoonekana kulingana na point na msimamo.
 
Kutokucheza vzr kwa mtimbwa kwa mechi moja hatuwezi.kusema mtimbwa ni mbovu mwisho wa msimu ndipo tutafanya tadhmini.inayoonekana kulingana na point na msimamo.
Sasa mkuu mwisho wa msimu utafanyaje tathmini ya ushindi kama mechi za mwanzo hukufanya vzr?
 
Sasa mkuu mwisho wa msimu utafanya tathmini ya nn kama mechi za mwanzo hukufanya vzr?
Kufungwa au ku draw mechi moja sio kukosa ubingwa mkuu. Hauwezi kishinda tu wewe kila siku wanzio nao wanajipanga kwa kushinda
 
swala la mo kuingilia maswala binafsi ya wachezaji ndio linamfanya watu wamuite mwamedi.chama hata hakuna na nia ya kuondoka ila kutokana a na uswahili wake Chama akaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga kabisa,mabasi ya kupewa utayauzaje
 
Unaweza kutoa mfano wa mchezaji hata mmoja mzuri kuliko walioko Simba waliosajiliwa kwa Pesa toka kwenye Mkataba wa Azam??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…