Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

Mo Mo Mo! nimekuita mara tatu

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Kubali kuingia mkataba na Azam media upate pesa ya kusajili wachezaji wanaoeleweka au Tumieni zile 20B kununua wachezaji wanaoeleweka kwenye dirisha dogo na sio kuzidiwa kete na Yanga kwa wachezaji kama Aucho na Djuma.

Acha ubahili,uza uchafu wa mabasi yote,nunua basi moja la maana na Coaster ya Simba Queens.

Acha kuingilia maisha ya wachezaji kama ulivyoingilia maisha binafsi ya Chama hadi ukamkera na hakutaka kuendelea kubaki Simba.

Acheni kuwadanganya wapenzi wa Simba kuwa timu hii ni bora kuliko Simba ya mwaka jana,kwani sasa tumeiona wenyewe.
Waambieni kama mnaandaa timu ya kushinda vikombe miaka miwili baadae ili msiue watu kwa pressure.

Wachezaji wanaonekana hawana furaha,kuna nini kimetokea?
 
Gari likiwaka.mtaanza kusifia hakuna kitu utafanya kila.siku wewe ushinde wewe tu haaahhhh. Tujifunze kuwa na subira. Katika imani subira ni tiba. Simba haija anza vibaya hii ligi imeanza vzr na uwanja umewaharibia plan zao leo.
 
tapatalk_1630086063971.jpeg
Kula TIKITI MAJI hilooo!
 
Kwani ni mara ya kwanza kwa Simba kucheza kwenye uwanja wa dizaini hiyo? Simba hao hao wamecheza na biashara kwenye hivi viwanja dhidi ya Biashara msimu iliyopita na kupata matokeo
Sawa mwanzo mgumu na pia ujue ushindani mwaka huu utaongezeka hivyo tuwe na subira kwa maana kila.kizuri ni.mipango.na changamoto kama za leo. Japo kwangu mimi.leo.walicheza vzr.
 
Sawa mwanzo mgumu na pia ujue ushindani mwaka huu utaongezeka hivyo tuwe na subira kwa maana kila.kizuri ni.mipango.na changamoto kama za leo. Japo kwangu mimi.leo.walicheza vzr.
Hapo sawa. Ila sio kuzingia uwanja wakati msimu uliopita Simba imecheza kwenye viwanja hivi hivi maana viwanja vizuri Tanzania ni vya kuhesabika lakini Simba walipata matokeo
 
Gari likiwaka.mtaanza kusifia hakuna kitu utafanya kila.siku wewe ushinde wewe tu haaahhhh. Tujifunze kuwa na subira. Katika imani subira ni tiba. Simba haija anza vibaya hii ligi imeanza vzr na uwanja umewaharibia plan zao leo.
Dro tu wameanza kupiga kelele
 
Hapo sawa. Ila sio kuzingia uwanja wakati msimu uliopita Simba imecheza kwenye viwanja hivi hivi maana viwanja vizuri Tanzania ni vya kuhesabika lakini Simba walipata matokeo
Biashara wamejutahidi kuonesha uwezo japo uwanja ulitunyima kuona utamu wa mchezo wa leo. Ule uwanja ufungiwe tu aisee hatari saana uwanja ule
 
Na.nature ya uwanja imeua mipango.ya kocha na wachezaji kwa ujumla
Duh,Mugalu hakukosea kuwaita Wanafiki. So ndio nyie msimu uliopita mlikuwa mnasema biriani linapikwa popote pale.

leo hii mnasingizia Viwanja na mbaya zaidi almost Viwanja vyote vya Mkoani vinafanana ndio kusema kuwa mtashinda match zenu kwa Mkapa, Kagera na Azam sio?
 
Back
Top Bottom