yitzhak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2019
- 616
- 853
Tulikuonya acha kutumia ubabe wa pesa ili upate ushawishi Simba
Ukamdharau Mzee wetu kilomoni ukafanya fitina apate misuko suko ya polisi ili uonekane we ndio mtu sahihi Simba
Nakwambia siku zako zinahesabika na
Nadhani umeona mahudhurio ya uwanjani kati ya Simba na mechi za azam na mechi ya Leo dhidi ya timu kutoka msumbiji
Sio kwamba hatukujua umuhimu wa mechi ya Leo ila tulikuachia wewe na kundi lako mkaujaze uwanja
Ulidhani Mzee kilomoni ni mjinga Fulani tu haya jiandae wewe kuitwa mjinga
Nyuma ya Mzee kilomon kuna watu wenye Simba yao wewe uliyeamua kutumia Nguvu ya pesa kutuondoa sisi tusiwe sehemu ya Simba jiandae sawa kisaikolojia
Kwakua Simba imeanza kuonekana ni ya mtu mmoja na uwanjani itakua huvyo hivyo watakuwa wanakuja nyumbu wako tu tunaojitambua tumekaa pembeni siku ukichoka utuachie timu yetu
Pesa zako sio kila kitu kwenye mpira wetu ila timu yetu ndio kila kitu
Sisi tutamtii Mzee kilomoni mpaka mwisho wewe hatukutambui ni km mgeni tu tunajua utapita
Tunazidi kuangalia maigizo yako kuhusu uwanja wa bunju umatoa pesa mkono wa kushoto unahamishia kulia kuwalaghai wanasimba wasiojielewa kuwa unajenga uwanja kwa pesa zako hahah
Muda ukifika tutasema
Simba haitamilikiwa na mtu hata usiku mmoja
Huu ni mwanzo tu
Mechi za ligi tutahudhiria mechi ya Yanga tu zingine utaangalia wewe na genge lako