Mo na genge lako mjiandae kisaikolojia mtakuwa mhahudhuria uwanjani peke yenu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]MANENO ya mkosaji.
SISI NI SIMBA DAMU DAMU .
Win or lose.
kwani kilomoni yeye ni ALLAH?
 
Relax acha presha za kishamba inafungwa Manchester United sembuse Simba..
 

Tatizo ww na Kilomoni ni maneno tu, hamna ela, mpira wa sasa ni fedha sio vyeo na maneno tu yasio na msingi, wakati Kilomoni yupo simba ilicheza mashindano gani?
 
Hasira zako ni mithili ya kada wa CCM aliyekosa posho ya kikao.
 
Swali la kizushi, mwaka huu tumepata nafasi 4 baada ya Simba kufanya vzr mwaka uliopita , je kwa style hii haiwezi kutuathiri huko CAF ?
 
Hatutaenda hata ya yanga Hatutaenda mpaka gabachori atakapotuachia timu yetu
 
Kuna mdau kaandika sehemu..Kuna mchezaji hatari na mchezaji machachari..Okwi hatari na Kanda machachari
 
Tatizo mliaminishwa ujinga na nyie mkaununua[emoji126][emoji126]eti usajili mliofanya ni wa CL na sio VPL
 
Hivi hawa wabrazil walisajiliwa na kulipwa mamilioni waje wacheze na lipuli kumbe?
Hapa kwakweli walifeli.Unamtoa kweli mtu toka dunia nyengine aje kuchoma mahindi Jamani!!!!!...Ila naunga mkono uwekezaji wa Moo 95% iliyobaki ni sababu ya kuzungukwa na watu wajanjawajanja na yy mwenyewe kuonekana anataka sifa zisizo na sababu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…