Mohammed Salah alionekana akiwa kwenye mitaa ya jiji la Vancouver nchini Canada akishangilia pamoja na raia wenzake wa Misri baada ya timu yao ya Misri kufanikiwa kuifunga timu ya New Zealand kwa mabao 3-1 .
Huu ulikuwa ni ushindi wa kwanza kabisa kwa timu ya Misri kwenye mashindano ya kombe la dunia.
uk.sports.yahoo.com
Huu ulikuwa ni ushindi wa kwanza kabisa kwa timu ya Misri kwenye mashindano ya kombe la dunia.
Mohamed Salah leads Egypt to historic first World Cup win as New Zealand swept aside
Egypt 3-1 New Zealand: Goals from Zico, Salah and Trezeguet turned the match on its head in the second half to send the Egyptians top of Group G