pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya
Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on [emoji91][emoji91]
Nimekuja kugundua ni kwa sababu ya UAFRIKA wake tena zaidi MUARABU..
muingereza kuliko MUARABU akae juu yake Bora afe. Mna kumbuka ishu ya princess Diana, MUARABU alikua anamgonga na nusu apate mimba sijui ingekuaje prince wa uingereza MUARABU ndio mana "alipotezwa"
hii ishu ya Salah unakuta imeshaongelewa pengine na makaburu wa FA na timu husika kua huyu msimpe mkataba ataenda kuweka rekodi ya kua MUARABU / muafrika kutoka afrika atakayeongoza kwa ufungaji wa magoli ligi kuu kwa muda wote akimpita kaburu Alan shearer au kaburu Rooney na akina Cole ..
Cha kumshauri Mo Salah aendelee kufunga sana kwa miezi hii minne ya mikataba aliyobakisha aende zake arabuni akapige pesa. Ameshaingia top 5 ya wafungaji Bora wa EPL wa muda wote, hio inatosha. Ila asahau mkataba mpya sababu ya ubaguzi.