Mo Salah hapewi mkataba mpya sababu ya ubaguzi, hakuna kingine

Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya

Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on [emoji91][emoji91]
Nimekuja kugundua ni kwa sababu ya UAFRIKA wake tena zaidi MUARABU..

muingereza kuliko MUARABU akae juu yake Bora afe. Mna kumbuka ishu ya princess Diana, MUARABU alikua anamgonga na nusu apate mimba sijui ingekuaje prince wa uingereza MUARABU ndio mana "alipotezwa"

hii ishu ya Salah unakuta imeshaongelewa pengine na makaburu wa FA na timu husika kua huyu msimpe mkataba ataenda kuweka rekodi ya kua MUARABU / muafrika kutoka afrika atakayeongoza kwa ufungaji wa magoli ligi kuu kwa muda wote akimpita kaburu Alan shearer au kaburu Rooney na akina Cole ..

Cha kumshauri Mo Salah aendelee kufunga sana kwa miezi hii minne ya mikataba aliyobakisha aende zake arabuni akapige pesa. Ameshaingia top 5 ya wafungaji Bora wa EPL wa muda wote, hio inatosha. Ila asahau mkataba mpya sababu ya ubaguzi.
Thread ya kipuuzi sana aisee
 
Si ubaguzi, hawaja agree tu kuhusu maslahi yake kama salary na bonus
 
Waingereza wabaguzi , vimba pasuka huo ndio ukweli...MUARABU hawezi ruhusiwa kutawala uingereza. Sahau hii kitu katika maisha yako ..hata man city kununuliwa na waarabu ilitumika nguvu kubwa sana, man UTD ilipaswa inunuliwe na MUARABU na alifika bei na kuzidisha, wakaleta uingereza wa kipumbavu, saivi Wana struggle wasishuke daraja
Newcastle ina milikiwa na muarabu vipi kuhusu Virgil van dirk...... hilo issue ya salah muachie salah na matajiri zake wa kimarekani!
 
Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya

Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on [emoji91][emoji91]
Nimekuja kugundua ni kwa sababu ya UAFRIKA wake tena zaidi MUARABU..

muingereza kuliko MUARABU akae juu yake Bora afe. Mna kumbuka ishu ya princess Diana, MUARABU alikua anamgonga na nusu apate mimba sijui ingekuaje prince wa uingereza MUARABU ndio mana "alipotezwa"

hii ishu ya Salah unakuta imeshaongelewa pengine na makaburu wa FA na timu husika kua huyu msimpe mkataba ataenda kuweka rekodi ya kua MUARABU / muafrika kutoka afrika atakayeongoza kwa ufungaji wa magoli ligi kuu kwa muda wote akimpita kaburu Alan shearer au kaburu Rooney na akina Cole ..

Cha kumshauri Mo Salah aendelee kufunga sana kwa miezi hii minne ya mikataba aliyobakisha aende zake arabuni akapige pesa. Ameshaingia top 5 ya wafungaji Bora wa EPL wa muda wote, hio inatosha. Ila asahau mkataba mpya sababu ya ubaguzi.
Umeandika kwa kuhisi tu.Hauna ushahidi timilifu.Ile ni biashara(mpira)na inahitaji umakini.
 
Akili kama hizi ndizo zilizomtemesha tonge Mbwana Samatta alipokuwa akikipiga Aston Villa.
 
Si ubaguzi, hawaja agree tu kuhusu maslahi yake kama salary na bonus
Wanaomvuruga Salah ni Al Hilal ya Saudi Arabia.Kule Saudi mchezaji kiwango cha kawaida analipwa hela ndevu mara tatu ya kiwango ambacho angelipwa ulaya. Ila kwa kiwango ambacho Liverpool wamepanga kumpa ni fair maana ni zaidi ya 400k Pound kwa wiki tena atakuwa mchezaji anayelipwa hela nyingi kuliko wote EPL.

Yeye ndiye hataki anataka kwenda kula pensheni yake Saudi Arabia.
 
Huna akili na hujui.mpira

Mbona alexander anord amekulia liverpool na mkataba wake unaisha hajaongezewa

Ukitanguliza dini mbele unakuwa shoga
 
Mo salah analipwa mshahara mkubwa sana akiongezewa mkataba maana ake aongezewe na masilahi pia. Kumbuka timu inahitaji kubalance vitabu vyake vya uhasibu, kumbuka umri ushaenda ni risk zaidi kufanya uwekezaji mkubwa kwake.

Barca walitumia nguvu kubwa kumbakisha messi matokeo yake jamaa kaondoka kaacha timu imefirisika
Wabongo habari ya vitabu ilishatutenga kaka, maisha yetu, maamuzi na mitazamo yote yamejawa na hisia tu, hatujui hizi ni biashara pia wawekezaji wanataka return on investment na profit pamoja na burudani!
 
Wanaomvuruga Salah ni Al Hilal ya Saudi Arabia.Kuke Saudi mchezaji kiwango cha kawaida analipwa hela ndevu mara tatu ya Europe ya kiwango ambacho angelipwa ulaya. Ila kwa kiwango ambacho Liverpool wamepanga kumpa ni fair maana ni zaidi ya 400k Pound kwa wiki tena atakuwa mchezaji anayelipwa hela nyingi kuliko wote EPL.

Yeye ndiye hataki anataka kwenda kula pensheni yake Saudi Arabia.
Kashashinda makombe karibu yote na Liverpool, kitakachokuwa kwenye akili yake Sasa hivi ni kula tu mpunga mrefu Kwa waarabu wenzie kule Saudia
 
Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya

Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on [emoji91][emoji91]
Nimekuja kugundua ni kwa sababu ya UAFRIKA wake tena zaidi MUARABU..

muingereza kuliko MUARABU akae juu yake Bora afe. Mna kumbuka ishu ya princess Diana, MUARABU alikua anamgonga na nusu apate mimba sijui ingekuaje prince wa uingereza MUARABU ndio mana "alipotezwa"

hii ishu ya Salah unakuta imeshaongelewa pengine na makaburu wa FA na timu husika kua huyu msimpe mkataba ataenda kuweka rekodi ya kua MUARABU / muafrika kutoka afrika atakayeongoza kwa ufungaji wa magoli ligi kuu kwa muda wote akimpita kaburu Alan shearer au kaburu Rooney na akina Cole ..

Cha kumshauri Mo Salah aendelee kufunga sana kwa miezi hii minne ya mikataba aliyobakisha aende zake arabuni akapige pesa. Ameshaingia top 5 ya wafungaji Bora wa EPL wa muda wote, hio inatosha. Ila asahau mkataba mpya sababu ya ubaguzi.
Miaka 34 abve sahau hiyo siyo ungereza salah tayar kasha kuwa ajuza na kila ktu kakifanya uefa anayo ligi na vkombe vngne sasa umpatie mkataba ya nn tena na kazi adahiwi
 
Ubaguzi wao uko wapi kwa maana iyo anacheza bila ya mkataba (si anao w zamani) aliupataje? Kama wabaguzi.
Kwani lazima kumuongezea? Si asepe zake TU. Unaleta ubaguzi tu hapa ww.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
HATA MKIMKATALIA TUNAJUA UBAGUZI UPO KWA WAZUNGU TULIYAONA KWA ETOO.
 
Waingereza wabaguzi , vimba pasuka huo ndio ukweli...MUARABU hawezi ruhusiwa kutawala uingereza. Sahau hii kitu katika maisha yako ..hata man city kununuliwa na waarabu ilitumika nguvu kubwa sana, man UTD ilipaswa inunuliwe na MUARABU na alifika bei na kuzidisha, wakaleta uingereza wa kipumbavu, saivi Wana struggle wasishuke daraja
Watu wamewajengea sanamu hadi watu weusi huko wakina Henry, Yaya Toure. Wewe na story zako za kijiwe cha kahawa huko eti hawawezi kuruhisiwa kutalawa.

Waliondolewa kwenye timu wakina Diego Costa tena kwa SMS tu, nao ni ubaguzi?

Walivunjiwa mkataba Waingireza wenyewe wakina Bekham nao ni ubaguzi?

Mtu mweusi ndio ana hii mentality ya kipuuzi ya "because he's black."

Mwarabu ana ushamba wake ila sio wa race.
 
Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya

Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on [emoji91][emoji91]
Nimekuja kugundua ni kwa sababu ya UAFRIKA wake tena zaidi MUARABU..

muingereza kuliko MUARABU akae juu yake Bora afe. Mna kumbuka ishu ya princess Diana, MUARABU alikua anamgonga na nusu apate mimba sijui ingekuaje prince wa uingereza MUARABU ndio mana "alipotezwa"

hii ishu ya Salah unakuta imeshaongelewa pengine na makaburu wa FA na timu husika kua huyu msimpe mkataba ataenda kuweka rekodi ya kua MUARABU / muafrika kutoka afrika atakayeongoza kwa ufungaji wa magoli ligi kuu kwa muda wote akimpita kaburu Alan shearer au kaburu Rooney na akina Cole ..

Cha kumshauri Mo Salah aendelee kufunga sana kwa miezi hii minne ya mikataba aliyobakisha aende zake arabuni akapige pesa. Ameshaingia top 5 ya wafungaji Bora wa EPL wa muda wote, hio inatosha. Ila asahau mkataba mpya sababu ya ubaguzi.
Una tatizo linaitwa inferiority complex
 
Akacheze kwao huko Misri ambako hakuna ubaguzi
 
Back
Top Bottom