Mo Salah hapewi mkataba mpya sababu ya ubaguzi, hakuna kingine

Thread ya kipuuzi sana aisee
 
Si ubaguzi, hawaja agree tu kuhusu maslahi yake kama salary na bonus
 
Newcastle ina milikiwa na muarabu vipi kuhusu Virgil van dirk...... hilo issue ya salah muachie salah na matajiri zake wa kimarekani!
 
Umeandika kwa kuhisi tu.Hauna ushahidi timilifu.Ile ni biashara(mpira)na inahitaji umakini.
 
Akili kama hizi ndizo zilizomtemesha tonge Mbwana Samatta alipokuwa akikipiga Aston Villa.
 
Si ubaguzi, hawaja agree tu kuhusu maslahi yake kama salary na bonus
Wanaomvuruga Salah ni Al Hilal ya Saudi Arabia.Kule Saudi mchezaji kiwango cha kawaida analipwa hela ndevu mara tatu ya kiwango ambacho angelipwa ulaya. Ila kwa kiwango ambacho Liverpool wamepanga kumpa ni fair maana ni zaidi ya 400k Pound kwa wiki tena atakuwa mchezaji anayelipwa hela nyingi kuliko wote EPL.

Yeye ndiye hataki anataka kwenda kula pensheni yake Saudi Arabia.
 
Huna akili na hujui.mpira

Mbona alexander anord amekulia liverpool na mkataba wake unaisha hajaongezewa

Ukitanguliza dini mbele unakuwa shoga
 
Wabongo habari ya vitabu ilishatutenga kaka, maisha yetu, maamuzi na mitazamo yote yamejawa na hisia tu, hatujui hizi ni biashara pia wawekezaji wanataka return on investment na profit pamoja na burudani!
 
Kashashinda makombe karibu yote na Liverpool, kitakachokuwa kwenye akili yake Sasa hivi ni kula tu mpunga mrefu Kwa waarabu wenzie kule Saudia
 
Miaka 34 abve sahau hiyo siyo ungereza salah tayar kasha kuwa ajuza na kila ktu kakifanya uefa anayo ligi na vkombe vngne sasa umpatie mkataba ya nn tena na kazi adahiwi
 
Ubaguzi wao uko wapi kwa maana iyo anacheza bila ya mkataba (si anao w zamani) aliupataje? Kama wabaguzi.
Kwani lazima kumuongezea? Si asepe zake TU. Unaleta ubaguzi tu hapa ww.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
HATA MKIMKATALIA TUNAJUA UBAGUZI UPO KWA WAZUNGU TULIYAONA KWA ETOO.
 
Watu wamewajengea sanamu hadi watu weusi huko wakina Henry, Yaya Toure. Wewe na story zako za kijiwe cha kahawa huko eti hawawezi kuruhisiwa kutalawa.

Waliondolewa kwenye timu wakina Diego Costa tena kwa SMS tu, nao ni ubaguzi?

Walivunjiwa mkataba Waingireza wenyewe wakina Bekham nao ni ubaguzi?

Mtu mweusi ndio ana hii mentality ya kipuuzi ya "because he's black."

Mwarabu ana ushamba wake ila sio wa race.
 
Una tatizo linaitwa inferiority complex
 
Akacheze kwao huko Misri ambako hakuna ubaguzi
 
Mabaguzi maingereza vimba pasuka mzee ..huo ndio ukweli
Waarabu hawana ubaguzi ndiyo maana kule kwao unaweza kuishi kwa imani yako. Misri unaweza kula hadharani hata kipindi cha ramadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…