G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,254
- 2,519
Ni dhahiri dalili ya mvua ni mawingu, kwa takwimu za Egyptian Talisman Mohamed salah namuona akienda kuibuka kidedea mshindi wa tuzo ya Ballon D'or mwaka huu 2025.
Bila shaka, naamini Liverpool atashinda kombe la Ligi kuu EPL 2025.
Bila wasiwasi, naamini Liverpool atashinda Final ya kombe la EFL 2025.
Na mpaka sasa, Liverpool ni Strong candidate wa kushinda kombe la UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2025.
Mpaka sasa hizi ni Takwimu za Mo Salah:
EPL : 22 GOALS + 14 ASSISTS
UEFA : 3 GOALS + 4 ASSISTS
EFL : 2 GOALS + 1 ASSIST
Hakuna mchezaji mwenye takwimu kama hizi kwenye ligi kuu 5 barani ulaya.
Mo Salah anaenda kuwa mchezaji wa pili kutoka bara la africa kushinda hii tuzo kubwa tangu abebe George Weah mwaka 1995.
Mo salah asipopata majeraha mpaka mwisho wa msimu atakua kinara wa kuwania tuzo zingine maarufu kama Premier League Golden Boot, Globe Soccer award, IFFHS World's Best Player, FIFA Best Men's Player of the Year na Premier League Player of the Year.
Mimi kama Mshabiki kindakindaki wa Real Madrid na Arsenal, nitakua na furaha tele kumuona muAfrica akibeba hizi tuzo kubwa.
Msikilize hata Arsené Wenger hapa chini 👇