Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu,Msimu mwaka jana Kachukua Rodri hatukuangalia takwimu kwamba Vinicious Jr kabeba Uefa ..Tumeangalia Mchango wako binafsi kwa Timu na hio ndio maana ya Ballon Dior(Mchango wa mtu kwa team katika kuleta mafanikio)Hao wote Salah kawazidi Takwimu, lakini pia Liver ana chance kubwa zaidi kushinda makombe makubwa wako full charged na hawana injuries tofauti na Barca hawako consinstent
Ni kweli mkuu wangu, ila kwa hizi takwimu za Salah zinamchango mkubwa sanaa kwenye mafanikio ya Liver msimu huu labda itokee mambo ya mpira Liver asibebe Epl na UefaSawa mkuu,Msimu mwaka jana Kachukua Rodri hatukuangalia takwimu kwamba Vinicious Jr kabeba Uefa
Tuzo hizi zipo kibiashara sana ,ndio maana Ballon Dior walitengana na FIfa katika ugawaji wa tuzo ...Labdah Barcelona ifanye vibaya ila wakifika mbali uefa tu Kiatu chakwao....Sijali cha Ligi au Copa del reyNi kweli mkuu wangu, ila kwa hizi takwimu za Salah zinamchango mkubwa sanaa kwenye mafanikio ya Liver msimu huu labda itokee mambo ya mpira Liver asibebe Epl na Uefa
No problemKuna tatizo gani nikieleza mrengo wangu wa kishabiki?
Upo sahihi mkuu ndomana na mimi nimesema Liver ana chance kubwa ya kubeba EPL, EFL na hata UEFA bado Liver ni strong opponent. Akibeba haya makombe na takwimu zake zikapanda lazima abebe Tuzo kubwa za dunia.Mfano hizi ni Takwimu za wafungaji magoli mengi kwa msimu mmoja Duniani....Messi
Waarabu walitukataa kombe la DuniaMo Salah anauwasha kwakwel tumuombed mwafrica mwenzetu
KUhusu UEFA ni kama mlivyosikiaNi dhahiri dalili ya mvua ni mawingu, kwa takwimu za Egyptian Talisman Mohamed salah namuona akienda kuibuka kidedea mshindi wa tuzo ya Ballon D'or mwaka huu 2025.
Bila shaka, naamini Liverpool atashinda kombe la Ligi kuu EPL 2025.
Bila wasiwasi, naamini Liverpool atashinda Final ya kombe la EFL 2025.
Na mpaka sasa, Liverpool ni Strong candidate wa kushinda kombe la UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2025.
Mpaka sasa hizi ni Takwimu za Mo Salah:
EPL : 22 GOALS + 14 ASSISTS
UEFA : 3 GOALS + 4 ASSISTS
EFL : 2 GOALS + 1 ASSIST
Hakuna mchezaji mwenye takwimu kama hizi kwenye ligi kuu 5 barani ulaya.
Mo Salah anaenda kuwa mchezaji wa pili kutoka bara la africa kushinda hii tuzo kubwa tangu abebe George Weah mwaka 1995.
Mo salah asipopata majeraha mpaka mwisho wa msimu atakua kinara wa kuwania tuzo zingine maarufu kama Premier League Golden Boot, Globe Soccer award, IFFHS World's Best Player, FIFA Best Men's Player of the Year na Premier League Player of the Year.
Mimi kama Mshabiki kindakindaki wa Real Madrid na Arsenal, nitakua na furaha tele kumuona muAfrica akibeba hizi tuzo kubwa.
Msikilize hata Arsené Wenger hapa chini 👇