Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Miaka ya 60 ligi ya UINGIREZA NA BRAZIL ipi ilikuwa inalipwa sana?
Wao wazungu nao kufika hapo wamemwaga pesa na mipango mingi.
Miaka ya 50 mpaka 70hivi ligi ya brazil ilikuwa moto mnoo.
Pele yupo kwao brazil lakini anavuta mpunga mrefu.
Copa libertodes ilianza miaka kadhaa kabla ya uefa.
Hivyo kama waarabu wakiwa namioango mizuri na hizo fedha zao, wanaweza kufanikiwa huko mbele ya safari