MO Simba Foundation/ Mo Simba Arena ni za Simba au Mo Dewji?

MO Simba Foundation/ Mo Simba Arena ni za Simba au Mo Dewji?

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
2,713
Reaction score
3,559
Kwenye jezi mpya za Simba kuna haya maneno 'Mo Simba Foundation', pia kuna Mo Simba Arena(uwanja wa mazoezi)

Kwa mnaofahamu, hizo project binafsi za Mohamed Dewji au ni za Simba kama Club?
 
Kwenye jezi mpya za Simba kuna haya maneno 'Mo Simba Foundation', pia kuna Mo Simba Arena(uwanja wa mazoezi)

Kwa mnaofahamu, hizo project binafsi za Mohamed Dewji au ni za Simba kama Club?

Ukiyajua yatakusaidia nini labda?
Wewe kwenye timu yako ya ndondo huko kijijini (kama ipo lakini) ulishawahi kuisupport hata kwa kuwashika mkono kinafiki tu wachezaji, au hata mia ulishawahi kuwachangia...!?
 
Kwenye jezi mpya za Simba kuna haya maneno 'Mo Simba Foundation', pia kuna Mo Simba Arena(uwanja wa mazoezi)

Kwa mnaofahamu, hizo project binafsi za Mohamed Dewji au ni za Simba kama Club?
Mashabiki wa Utopolo mnashindwa kuhoji vilivyopo mlangoni mwemu mnaenda kuhoji vya jirani
 
Walishaona tarehe 18 watapata linalowafaa sasa wanavyohangaika wamesahau dua la kuku halimpati mwewe. Eti inamuuma jezi si ununue yako uiandike unavyotaka mwenyewe pia.
 
Mo inasimama kama brand ya products zake, simba foundation na simba arena zinajitegemea.

Kingine bwana Depotivo la Utopolo?
Kwenye jezi mpya za Simba kuna haya maneno 'Mo Simba Foundation', pia kuna Mo Simba Arena(uwanja wa mazoezi)

Kwa mnaofahamu, hizo project binafsi za Mohamed Dewji au ni za Simba kama Club?
 
Anaelipa mishahara na kutoa pesa za usajili kila mwaka ndo mmiliki

Nyie wengine ni wafuata upepo na waimba mapambio tu
Kwan kuna tatzo gan? Burudan ya makombe na kandanda safi. Ushindi mfululizo na wachezaji wenye uwezo kwetu ndio CHA MAANA. Sijui nyie NYANI wenye timu OMBAOMBA. Hv mnanufaikaje

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Mo ni mdhamini kama wadhamini wengine tu. Mfano kulikua na Barclays premier league au Vodacom premier league hazimaanishi kwamba eti hizo ligi ni mali za barclays au voda. Wakimaliza muda wao wa udhamini basi wanatoka na itaendelea kubakia kama zilivyo.

Jiulize Azam FA Cup ni ya Bakharesa??? Au Emirates stadium ya Arsenal na Emirates FA Cup ni za Fly Emirates? Hayo majina yanakuja hapo ni kutokana na terms and conditions mlizoingia baina ya club na muhusika.
 
Nadhani swali la msingi hapa ni je kuna mikataba yoyote ya udhamini kati ya MeTL na simba katika kujitangaza kwake?

Au je kuinunua simba sehemu mojawapo ya makubaliano ni kuitumia simba katika kutangaza biashara zake?

Au je ni Mo (MeTL) ndio imeinunua simba au Muddy kama Muddy ndio kainunua simba.
 
Ukiyajua yatakusaidia nini labda?
Wewe kwenye timu yako ya ndondo huko kijijini (kama ipo lakini) ulishawahi kuisupport hata kwa kuwashika mkono kinafiki tu wachezaji, au hata mia ulishawahi kuwachangia...!?
Pole sana Mkuu.
 
Kwenye jezi mpya za Simba kuna haya maneno 'Mo Simba Foundation', pia kuna Mo Simba Arena(uwanja wa mazoezi)

Kwa mnaofahamu, hizo project binafsi za Mohamed Dewji au ni za Simba kama Club?

Jiongeze kiakili na acha threads za kishabiki. Unazungumzia taasisi. Hivyo kuna official corporate registration of the same viza-vis private one. Usilete uswahili kwenye utaalamu. Fahamu kuwa Simba Sc ni another level. Mambo yao yapo kiuweledi zaidi na si kiudakudaku.
 
Mbumbumbu hawaelewi kitu yote hiyo mali ya Mo simba hana kitu hapo ukweli mbumbumbu ni mbumbumbu hakuna jina zaidi
 
Back
Top Bottom