GE2025 Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani Ikulu msishangae ni kodi zangu

GE2025 Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani Ikulu msishangae ni kodi zangu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Usisahau kuchukua kitu chochote Cha ikulu kwaajili ya kuwaonesha wajukuu SI unajua picha wanaweza kuja kusema ni AI
 
Ila watanganyika kwa kuongea kwenye mitandao kama wataandamana kweli vile 😁😁!
Wazaramo wana msemo wao
"Zilongwa mbali, zitendwa mbali"
 
Mkuu mi furniture za ikulu nishaziwahi..tareh 27 natoka kanda ya ziwa na lori la mawe
 
Back
Top Bottom