MO29 TV ni game changer ya habari Tanzania

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Daa hii nchi sijui kama itapona makovu ya MO29.

Sasa Kuna TV mpya , ni online TV, imeanzishwa imepewa jina la MO29 TV.

Hii channel inapiga spana kweli kweli, imegeuka kilio Cha kusaga meno Kwa CCM.

Je MO29 TV ni ya nani? Na itaweza ku- survive bila kufungiwa.

Let wait and see.

Mto wa mbu,
Philadelphia
 
Yapatikana kwenye king'amuzi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…