Mob Justice: Does this mark the failure on Criminal Justice in Tanzania? [Onyo 'Graph

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
:frusty:Mob Justice: Does this mark the failure on Criminal Justice in Tanzania? [ Onyo 'Graphic Photos]

Does Lynching methodology paint grey areas on the matter of losing hope in our criminal justice in Tanzania?

Tuesday, August 17, 2010

Kutona hasira za watu hao walioamua kujichukulia sheria mkononi,sidhani kama alipona kwani baadaye walitokea mgambo wa jiji na kumuokoa, Wakati wakielekea katika kituo cha Polisi cha Karume Kibaka huyo alianguka na kupoteza fahamu kwani alikuwa akitokwa na damu nyingi kichwani.

Mmoja wa wananchi mwenye hasira kali akimponda na tofari Kibaka ambaye jina lake halikujulikana mara moja baada ya kudaiwa kumkwapua abiria mmoja aliyekuwa ndani ya gari akisafiri kuelekea Mwenge akiwa ametokea Tandika.Kibaka huyo inadaiwa alimkwapua simu abiria huyo na kukimbilia katika eneo la makaburi yaliyopo Karume na ndipo lilipoibuka kundi la Watu na kuanza kumfukuza na hatimaye kufanikiwa kumkamata na kuanza kumshushia kibano cha nguvu kama uonavyo pichani.Blog ya Jiachie inalaani na itazidi kulaani matukio kama haya,ambayo baadhi ya watu wamekuwa wakijichukulia sheria mkononi na kupoteza uhai wa wenzao kirahisi hivi,ilhali sheria zipo.Mungu Ibariki Afrika,Mungu Ibariki Tanzania. [SOURCE; mICHUZI JR]
 
It takes hours for the POLICE to repsond......it takes months for the PROSECUTOR to charge....it take years for the JUDGE to make the ruling
 
justice katika mfumo wake ni bora kuchukua sheria mkononi! kwani utaratibu wa kupata haki ni mgumu , sijui kama utaratibu huu ni kwa tanzania pekee au ndivyo sheria ilivyo!.......naomba ninukuu mameno ya S-N-S

If this be the case why then should petty crimanals be subject to mob justice. Ni kwa nini watu wa white collar crimes pamoja na wingi wa hela wanazochukua wanaonekana heros na heroines katika jamii yetu na mtu anayeiba kuku, kioo cha gari nakadhalika ndo anapokea kipigo mpaka anakufa.

Mimi nadhani mob justice ni sababu ya umaskini ( financially ) maskini akiibiwa anakuwa na hasira sana kuliko tajiri akiibiwa.
 
Bwana Ngambo Ngali hawa vibaka wanawaibia walalahoi wenzao ambao nao jasho limetoka jingi ili kuweza kumiliki hicho kijisimu au ki tv. Lakini wa while collar huwa wanamwibia jitu linaloitwa Serikali ambalo lina mafedha mengi kwa hivyo hata mtu akidokoa kidogo bado huwa hajui.
 
White collar crimes are very complicated, it takes THREE DAYS to wire the money to an off-shore account, but it takes THREE YEARS to trace and discover that amount of money! [Refer Radar - (Chenge's) Case]. They involve influential figures, high tech, etc, It takes FIVE YEARS to prosecute them! Mob justice is not applicable here!
 
Buchanan, nakubaliana na wewe. twende hatua moja mbele hao wanaopigwa mawe sio kwamba wamepatikana na hatia la hasha ni hisia kuwa ni wezi na bado wahukumiwa kutokana na hisia. Kwa nini na watu wa white collar crimes na wao wasihukumiwe kwa hisia na badala yake tunachekanao na kuwapamba kwa vyeo lukuki.

Bado haiingii akilini, madhara wanayoleta watu wa white collar crimes ni makubwa kuliko ya vibaka.
 
Bwana Ngambo Ngali hawa vibaka wanawaibia walalahoi wenzao ambao nao jasho limetoka jingi ili kuweza kumiliki hicho kijisimu au ki tv. Lakini wa while collar huwa wanamwibia jitu linaloitwa Serikali ambalo lina mafedha mengi kwa hivyo hata mtu akidokoa kidogo bado huwa hajui.

Binti mkongwe huyo mlalahoi ni sehemu ya serikali, na wanavyoibiwa wanajua wananchi wanajua juu ya EPA, Radar, meremeta etc na madhara yanawafikia upungufu wa dawa hoapitalini, barabara mbovu etc sasa kwa nini hawareact?
 
Buchanan, nakubaliana na wewe. twende hatua moja mbele hao wanaopigwa mawe sio kwamba wamepatikana na hatia la hasha ni hisia kuwa ni wezi na bado wahukumiwa kutokana na hisia. Kwa nini na watu wa white collar crimes na wao wasihukumiwe kwa hisia na badala yake tunachekanao na kuwapamba kwa vyeo lukuki.

Bado haiingii akilini, madhara wanayoleta watu wa white collar crimes ni makubwa kuliko ya vibaka.

Mtani hebu tuongoze tukampige MAJIWE Chenge.....mimi ntakuwa wa kwanza ukinihakikikishia usalama wangu :becky::becky:
 
Buchanan, nakubaliana na wewe. twende hatua moja mbele hao wanaopigwa mawe sio kwamba wamepatikana na hatia la hasha ni hisia kuwa ni wezi na bado wahukumiwa kutokana na hisia. Kwa nini na watu wa white collar crimes na wao wasihukumiwe kwa hisia na badala yake tunachekanao na kuwapamba kwa vyeo lukuki.

Bado haiingii akilini, madhara wanayoleta watu wa white collar crimes ni makubwa kuliko ya vibaka.

Bwana Mzee nimesema kwamba masuala ya "wakubwa" yako complicated na watu hawa wana ushawishi mkubwa kwenye jamii, kwa hiyo hisia za ujinai za wananchi zinakuwa outweighed na ushawishi wao mkubwa walionao! Just imagine mlarushwa anatoa mabati kujenga shule, anatoa sadaka kubwakubwa kanisani/misikitini, etc, hivi kweli mtu kama huyu anaweza kupigwa mawe?
 
Back
Top Bottom