Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Huyu babu naye amekuja kuwa mtu wa hovyo kama MsigwaMsemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga.
Sawa muarabu analipa fidia watu wahame ili achukue ardhi kirahisi:::: Saa100 hili utajibu time will come!!!Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga.
Lini tuliwauliza kuhusu Ngorongoro, inawezekana amechanganya kuhusu malalamiko yetu ya sukari kupanda bei yeye kazungumzia Ngorongoro.Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga.
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha wananchi ili eneo la hifadhi libaki likikaliwa na wanyama.
Amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa Nyumba z wamasai huko Msomera, Tanga, haipungui wastani wa Tsh. Milioni 15 kwa kila nyumba na gharama halisi itatolewa baada ya kukamilika kwa mradi huo. Hata hivyo, amebainisha kuwa gharama hizi zinabadilika kila mara ha haiwezi kubaki ileile kila siku.
Ni nani anayejenga mahotel makubwa huko Ngorongoro?Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga.
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha wananchi ili eneo la hifadhi libaki likikaliwa na wanyama.
Amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa Nyumba z wamasai huko Msomera, Tanga, haipungui wastani wa Tsh. Milioni 15 kwa kila nyumba na gharama halisi itatolewa baada ya kukamilika kwa mradi huo. Hata hivyo, amebainisha kuwa gharama hizi zinabadilika kila mara ha haiwezi kubaki ileile kila siku.
Wamasai wanaamishwa wasiishi na wanyama alafu hotel zinajengwa ili watu wakaishi na wanyama...maajabu na watu wake.Ni nani anayejenga mahotel makubwa huko Ngorongoro?
Sawa muarabu analipa fidia watu wahame ili achukue ardhi kirahisi:::: Saa100 hili utajibu time will come!!!
Tembo(mwekezaji), Simba(mchoma mishikaki) na Tausi(mhudumu).Ni nani anayejenga mahotel makubwa huko Ngorongoro?
mlaaniwe mpigwe na radi mfe kwenye ndege mnakokwenda kuuza mali zetuMsemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga.
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha wananchi ili eneo la hifadhi libaki likikaliwa na wanyama.
Amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa Nyumba z wamasai huko Msomera, Tanga, haipungui wastani wa Tsh. Milioni 15 kwa kila nyumba na gharama halisi itatolewa baada ya kukamilika kwa mradi huo. Hata hivyo, amebainisha kuwa gharama hizi zinabadilika kila mara ha haiwezi kubaki ileile kila siku.
Pesa zimetola katika mfuko upi?Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi anazungumza na Waandishi wa Habari, leo Januari 17, 2024, Handeni-Tanga.
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro na kuwahamisha wananchi ili eneo la hifadhi libaki likikaliwa na wanyama.
Amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa Nyumba z wamasai huko Msomera, Tanga, haipungui wastani wa Tsh. Milioni 15 kwa kila nyumba na gharama halisi itatolewa baada ya kukamilika kwa mradi huo. Hata hivyo, amebainisha kuwa gharama hizi zinabadilika kila mara ha haiwezi kubaki ileile kila siku.
Kumbe kweli tuna dalali ikulu bhana! Tunalifurusha tu lirudi huko ghuba 2025! Hata iweje!SASA SAMIA AFANYE NINI,AMEWASHAURI VATICAN WAJE WANUNUE HAWATAKI,WAO WANAKOMAA TUH KUWALAZIMISHA ETI WANACHI WAWE MACHOKO,AFANYE NIN SASA