Mobhare Matinyi: Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro ili wahame kwa hiari

Mobhare Matinyi: Mkazo wa Serikali ni kuelimisha wananchi wa Ngorongoro ili wahame kwa hiari

Kumbe kweli tuna dalali ikulu bhana! Tunalifurusha tu lirudi huko ghuba 2025! Hata iweje!
TOO BAD,SAMIA IS HERE TO LEAD THIS COUNTRY UNTIL 2030 INSHA ALLAH.HUTAKI NENDA VATICAN UKAFUNGISHWE NDOA ZA MACHOKO
 
TOO BAD,SAMIA IS HERE TO LEAD THIS COUNTRY UNTIL 2030 INSHA ALLAH.HUTAKI NENDA VATICAN UKAFUNGISHWE NDOA ZA MACHOKO
Nyie ndio mtahamia ghuba mkawe wake wenza wa mabwana mnaowauzia raslimali. Saa100 atawatangulia 2025 hata iweje!
 
20 January 2024
Tanga, Tanzania

MKUU wa MAJESHI ya ULINZI JENERALI MKUNDA ATUA na HELIKOPTA MSOMERA - ASHUHUDIA KAZI IKIENDELEA...

View: https://m.youtube.com/watch?v=dW2Q9tESk4E
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa nyumba 5000 za makazi ya wananchi wanaohama kwa hiari yao kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuja Msomera Handeni Tanga. Mradi huo unatekelezwa na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)

Akikagua mradi huo, Jenerali Mkunda amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo na namna Vijana wa JKT wanavyoutekeleza mradi huo kwa weledi mkubwa....
 
Back
Top Bottom