MKUU wa MAJESHI ya ULINZI JENERALI MKUNDA ATUA na HELIKOPTA MSOMERA - ASHUHUDIA KAZI IKIENDELEA...
View: https://m.youtube.com/watch?v=dW2Q9tESk4EMkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa nyumba 5000 za makazi ya wananchi wanaohama kwa hiari yao kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuja Msomera Handeni Tanga. Mradi huo unatekelezwa na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)
Akikagua mradi huo, Jenerali Mkunda amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo na namna Vijana wa JKT wanavyoutekeleza mradi huo kwa weledi mkubwa....