NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Nimedownload apps nyingi nyingi kdg ambazo zimetengenezwa na developers wa tanzania, wengi naona wanadevelop for android, nahisi labda market kubwa iko huko bongo, iOS wameisahau kabisaa!!
Swali langu moja tu, content ipo vizuri, ila User Interface aisee mbona mbaya hivyo?? Yaani unakuta imepangwa pangwa tu utadhani mtu aliweka HTML code peke yake... afu kwa wanaopenda sana android, kwa nini msitengeneze apps kwa kutumia HTML5 na Javascript kuzifanya zitumike kwenye platform zote maana apps nyingi nilizoona hazihitaji hata native code, nyingi zina texts tu na some images..
Wenye apps, nini kinawafanya mshindwe kutengeneza user interface nzuri??