Mobile marketing

Mobile marketing

elizan

Member
Joined
Jul 22, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Wadau naomba maoni yenu kuhusiana na hii kitu inaitwa mobile marketing. Nina uhakika wote mmeshawahi kukutana nayao, ni pale unapo-pokea message kwenye simu yako ya mkononi ikikupa taarifa ya matangazo. je nyie mnaionaje hiyo huduma?
 
Nzuri ila inatemea na aina ya product unayomtumia mtu, like wewe unauza 'mkorogo', then unamtumia mwanaume rijali, ataboreka ila kama unauza kitu ambacho kipo kwenye line ya business ya mlengwa then utakuwa umefanikiwa.

Cha muhimu ni kufahamu kuwa kuna usumbufu mkubwa sana wateja wa makampuni ya simu wanauleta kwa watumiaji wa simu, matangazo mengi yanakera, mtu upo busy ofisini unasikia message unadhani ni kitu cha maana kumbe mtu anakuletea tangazo "KWA MAHITAJI YA NGUO ZA KINA DADA TUONE .......", Kwakeli itakuwa kero, na hata mtu hatakuja dukani kwako maana ushamkera from the beginning kama lile tangazo la Zain 'wamenitumia ada ya shuleeee, wamekataaaa.' tangazo la kipumbavu kabisa!
 
Asante sana mdau, umenisaidia sana nilikuwa nataka kuingia kwenye hii biashara.
 
Back
Top Bottom