Nzuri ila inatemea na aina ya product unayomtumia mtu, like wewe unauza 'mkorogo', then unamtumia mwanaume rijali, ataboreka ila kama unauza kitu ambacho kipo kwenye line ya business ya mlengwa then utakuwa umefanikiwa.
Cha muhimu ni kufahamu kuwa kuna usumbufu mkubwa sana wateja wa makampuni ya simu wanauleta kwa watumiaji wa simu, matangazo mengi yanakera, mtu upo busy ofisini unasikia message unadhani ni kitu cha maana kumbe mtu anakuletea tangazo "KWA MAHITAJI YA NGUO ZA KINA DADA TUONE .......", Kwakeli itakuwa kero, na hata mtu hatakuja dukani kwako maana ushamkera from the beginning kama lile tangazo la Zain 'wamenitumia ada ya shuleeee, wamekataaaa.' tangazo la kipumbavu kabisa!