Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Wazo zuriWakuu mimi ni mjasiliamali ambae walau kwa siku naweza kuingiza faida ya elfu tano au elfu kumi sasa ombi langu kwa haya makampuni yanaoendesha mobile money kama T-pesa, Mpesa, Tigopesa,Eazy pesa na halopesa kuwa wafikiria namna ya kuweka Account ambayo mtu unaweza kuweka kiwango fulani cha pesa ila tu Huruhusiwi kukitoa mpaka muda ulioset ufike kama ilivo kwa mabank, Ila tu wao waturuhusu ku deposit pesa ila ku withdraw iwe mpaka kwa muda mteja aliochagua, Wanaweza kutoa interest kwa muda ulio fix hio pesa.
Mana njia ya kibubu ni locally sana na usalama wake ni mdogo
Naunga mkono hojaWakuu mimi ni mjasiliamali ambae walau kwa siku naweza kuingiza faida ya elfu tano au elfu kumi sasa ombi langu kwa haya makampuni yanaoendesha mobile money kama T-pesa, Mpesa, Tigopesa,Eazy pesa na halopesa kuwa wafikiria namna ya kuweka Account ambayo mtu unaweza kuweka kiwango fulani cha pesa ila tu Huruhusiwi kukitoa mpaka muda ulioset ufike kama ilivo kwa mabank, Ila tu wao waturuhusu ku deposit pesa ila ku withdraw iwe mpaka kwa muda mteja aliochagua, Wanaweza kutoa interest kwa muda ulio fix hio pesa.
Mana njia ya kibubu ni locally sana na usalama wake ni mdogo
Wakuu mimi ni mjasiliamali ambae walau kwa siku naweza kuingiza faida ya elfu tano au elfu kumi sasa ombi langu kwa haya makampuni yanaoendesha mobile money kama T-pesa, Mpesa, Tigopesa,Eazy pesa na halopesa kuwa wafikiria namna ya kuweka Account ambayo mtu unaweza kuweka kiwango fulani cha pesa ila tu Huruhusiwi kukitoa mpaka muda ulioset ufike kama ilivo kwa mabank, Ila tu wao waturuhusu ku deposit pesa ila ku withdraw iwe mpaka kwa muda mteja aliochagua, Wanaweza kutoa interest kwa muda ulio fix hio pesa.
Mana njia ya kibubu ni locally sana na usalama wake ni mdogo
Tayari tuna MPAWA ( Vodacom )wazo ni zuri, ila sasa hizo huduma za Mobile money zinaratibiwa na BOT, So mpaka wapate ruhusa toka huko ndio wanaweza fanya hivo
Mkuu huoni sasa hapo wanatutenga sisi wadudulizaji, Mi nilitaka kwa Mobile money kwa vile ni accessible sanaKama una nmb acc wanayo, tatizo ni pesa ya kianzio wanataka minimum laki tano[emoji26][emoji26][emoji26].
Tupe tips na experience yako ili ambao hatuna hizo line tukazinunue
Tayari tuna MPAWA ( Vodacom )
Wanaweza iboresha mpawa na ikawa na fixed deposit,
Tofauti na sasa ambapo unaweka na kutoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
wazo ni zuri, ila sasa hizo huduma za Mobile money zinaratibiwa na BOT, So mpaka wapate ruhusa toka huko ndio wanaweza fanya hivo
Ahsante kwa maeleza ya kina na yanayojitosheleza.Hujiulizi kwanini MPAWA haijaenda beyond..?, ile ni product ya CBA(Commercial Bank of Africa), tunarudi palepale, kuna BOT, Mitandao ya simu ikipewa sana room for creativity kwenye mobile money basi Bank zitafungwa, hata hivo mabenki walishapiga kelele sana, ndio maana na wao sasa wameanza kuwafata watu wa mobile money kwa kuja na Agency Banking, Mteja anafatwa sikuhizi sio ww mtoa huduma ufatwe, na huko mbeleni hutomfata tena mteja mteja atamaliza shida zake mwenyewe kwa Selfcare(selfservice) eg Digital banking
limits ni 5M but it depends with type of customer/subscriber and termsLengo la mobile money ni kurahisisha transaction baina ya watu sio kufanya kazi kama benki.
Wengi wanazifanya benki ndogo kwa urahisi wa kuweka, kutoa na kuhamisha hela.
Usalama ni mdogo sana kulinganisha na benki kwenye hizi mobile wallet zetu.
Na kuna sheria za kuifanya benki kuitwa benki na kufanya kazi za kibenki ila hakuna sheria ya kuwafanya tigo pesa kufanya kazi za kibenki.
Ndo maana limits za kuweka hela kwenye hizi mobile wallet ni 5M ila benki ni unlimited.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,sasa tunajipakulia pesa kwenye tigo pesa,tala,branch to mention.Ambapo wakopeshaji hujawai kuonana nao ila kwa kuwatumia taarifa zako tu.Kikubwa watanzania tujifunze uaminifu kila kitu kitaenda sawa,mimi sasa hivi ninaweza kuamka asubuhi nikakopa zaidi ya laki tano kwenye system tajwa hapo juu.Hujiulizi kwanini MPAWA haijaenda beyond..?, ile ni product ya CBA(Commercial Bank of Africa), tunarudi palepale, kuna BOT, Mitandao ya simu ikipewa sana room for creativity kwenye mobile money basi Bank zitafungwa, hata hivo mabenki walishapiga kelele sana, ndio maana na wao sasa wameanza kuwafata watu wa mobile money kwa kuja na Agency Banking, Mteja anafatwa sikuhizi sio ww mtoa huduma ufatwe, na huko mbeleni hutomfata tena mteja mteja atamaliza shida zake mwenyewe kwa Selfcare(selfservice) eg Digital banking
Ni Kweli mkuuNi kweli,sasa tunajipakulia pesa kwenye tigo pesa,tala,branch to mention.Ambapo wakopeshaji hujawai kuonana nao ila kwa kuwatumia taarifa zako tu.Kikubwa watanzania tujifunze uaminifu kila kitu kitaenda sawa,mimi sasa hivi ninaweza kuamka asubuhi nikakopa zaidi ya laki tano kwenye system tajwa hapo juu.