yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,668
- 1,017
Kibubu- technology imekuwaAhsante kwa maeleza ya kina na yanayojitosheleza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibubu- technology imekuwaAhsante kwa maeleza ya kina na yanayojitosheleza.
Niliwaza kama wewe mkuu.Lengo la mobile money ni kurahisisha transaction baina ya watu sio kufanya kazi kama benki.
Wengi wanazifanya benki ndogo kwa urahisi wa kuweka, kutoa na kuhamisha hela.
Usalama ni mdogo sana kulinganisha na benki kwenye hizi mobile wallet zetu.
Na kuna sheria za kuifanya benki kuitwa benki na kufanya kazi za kibenki ila hakuna sheria ya kuwafanya tigo pesa kufanya kazi za kibenki.
Ndo maana limits za kuweka hela kwenye hizi mobile wallet ni 5M ila benki ni unlimited.
Sent using Jamii Forums mobile app