Mobile Money Ongezeni Fixed account kwenye Menu

Niliwaza kama wewe mkuu.
Mobile money ni sehemu ya kuweka pesa temporary kwa lengo la kumuhamishia mtu.
Sio sehemu ya kuweka pesa kwa miaka kadhaa usalama ni mdogo sana.
Ni rahisi sana pess yako kupotea either kwa kuibiwa na wezi wa mtandao au hata na makampuni ya simu yenyewe muda mwingine huwa hawatabiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…