Habari zenu wakuu?
Jamani ningependa kuelimishwa kidogo kuhusu kampuni za simu Bongo zinavyo fanya kazi. Nina maswali haya
1: Mtu yeyote anaweza kufungua kampuni?
2: Is there a price agreement imewekwa na government? kwamba lazima bei ziwe kiasi flani? au is it a free market?
3: Kuna ugumu wa kupata license (mambo ya kuonga)
4: Unaweza ku rent minara ya airtel kwa mfano au lazima mtu awe na minara yake?
Jamani kiswahili kina nichenga kidogo, mtanisamehe.
Egongo.
Asante sana kwa maelezo yako. Yani umejibu yote tu vizuri. Nita save e-mail yako incase nitakuwa na maswali mngine. Kwa kifupi ni kwamba its too expensive kupiga simu Tanzania ukilinganisha na nchi nyingi tu, especially za huku ulaya. Sasa makampuni makubwa makubwa yote yanakosa wateja kwa sababu zinafunguliwa kampuni ndogondogo ambazo zina rent minara kutoka kwenye kampuni kubwa halafu price zao ziko chini due to hawana administration kubwa na pia organization zao are well streamlined. Nafikiria kuanzisha kitu kama hichi Tanzania, iwapo itawezekana. Kwa sababu I am sure market bado ni kubwa tu sana, there is space for more mobile phone providers na wateja wapo wa kutosha. You something like Eazyjet ya simu. Cheap, straight and simple.
upo nchi gani,mfano wa kampuni ndogo ndogo ni zipi?
kuna swala la kupata leseni.hapo ndo pagumu,kuna kampuni ilikuja walishindwa kupata leseni,kwani akina Vodacom and co walipiga campeni za underworld hawakupata jamaa wamekuwa frastrated sana.ndugu zingatia leseni ukipata the rest is easy.
Kiswahili kinakuchenga? Kwani hukwenda shule?Jamani kiswahili kina nichenga kidogo, mtanisamehe.
Na wewe hukwenda shule? Ungekuwa umeenda shule, ungejua kwamba kiswahili hakifundishwi kwenye shule zote duniani. Mimi sijasoma shule Africa, niliondoka Tanzania nilivyokuwa na miaka kumi, sasa hivi nina miaka 33. Kwahiyo baada ya miaka 23 naona najitahidi sana na kiswahili.
upo nchi gani,mfano wa kampuni ndogo ndogo ni zipi?
kuna swala la kupata leseni.hapo ndo pagumu,kuna kampuni ilikuja walishindwa kupata leseni,kwani akina Vodacom and co walipiga campeni za underworld hawakupata jamaa wamekuwa frastrated sana.ndugu zingatia leseni ukipata the rest is easy.
Egongo.
Asante sana kwa maelezo yako. Yani umejibu yote tu vizuri. Nita save e-mail yako incase nitakuwa na maswali mngine. Kwa kifupi ni kwamba its too expensive kupiga simu Tanzania ukilinganisha na nchi nyingi tu, especially za huku ulaya. Sasa makampuni makubwa makubwa yote yanakosa wateja kwa sababu zinafunguliwa kampuni ndogondogo ambazo zina rent minara kutoka kwenye kampuni kubwa halafu price zao ziko chini due to hawana administration kubwa na pia organization zao are well streamlined. Nafikiria kuanzisha kitu kama hichi Tanzania, iwapo itawezekana. Kwa sababu I am sure market bado ni kubwa tu sana, there is space for more mobile phone providers na wateja wapo wa kutosha. You something like Eazyjet ya simu. Cheap, straight and simple.
Dollar 5 ni shilingi 7,500 takriban. Vocha ya 7,500/= unaweza kuongea zaidi ya dakika kumi mtandao wowote ule. Sijui hesabu zako unafanyaje. Na lugha nayo unasema inakusumbua, sasa hapo sijui tusaidiane vipi.... ukiangalia Bongo dollar tano tu haupati hata dakika 10.
... the udaku and mambo yasiyokuwa na maana area, because that is where you belong.
Jibu hoja, habari zako za "udaku" weka pembeni:
Mtandao gani umejaribu Tanzania ukashindwa kuongea dakika 10 kwa vocha ya 7,500/= ??
Huo ni udaku? Au huelewi kinachoandikwa, maana umesema lugha inakusumbua.
wanapolumbanawanaporumbana,
weaknesstheir ... wickness
Hivi udhaifu wa mwingine utauchukuliaje kama "challenge to you"? Hahahahahha........ Mfano, mtu anasema hajui Kiswahili, hiyo ni challenge kwangu mimi? heheheheee...Duu!and take as a challenge to you!!