Mobisol, kampuni inayoongozwa na MD Mkenya. Watanzania hatuwezi?

Mobisol, kampuni inayoongozwa na MD Mkenya. Watanzania hatuwezi?

Joined
Feb 22, 2021
Posts
55
Reaction score
151
Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.

Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
 
Hiyo kampuni ya sola inamilikiwa na nani? Ana hisa ngapi kwenye kampuni? Kama ni kampuni kutoka nje imekuja nchini kuwekeza ni dhahiri itatafuta MD mwenye elimu ujuzi na uzoefu lakini mtu mwenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza makampuni, watanzania wenye tunu hiyo kwenye ukanda wetu bado ni wa kuhesabu kwenye vidole.
 
Hiyo kampuni ya sola inamilikiwa na nani? Ana hisa ngapi kwenye kampuni? Kama ni kampuni kutoka nje imekuja nchini kuwekeza ni dhahiri itatafuta MD mwenye elimu ujuzi na uzoefu lakini mtu mwenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza makampuni, Watanzania wenye tunu hiyo kwenye ukanda wetu bado ni wa kuhesabu kwenye vidole.
Hili ndilo jibu sahihi. Ingekuwa kanisani tungesema "hili ndilo neno la Bwana" na misa inafungwa
 
Sioni kama kulikuwa na haja ya kutaja kampuni ya watu moja kwa moja maana ni kama unaichongea ukitegemea na aina ya uongozi tulio nao sasahivi. Ila swala hili ningependa nilirudishe kwako mwenye uzi huu je kabla ya kuandika uzi huu hauna personal conflict na hawa mabwana (mobisol), mbili ulifanya research ya kutosha kuwa ni mobisol tu inaendeshwa na mkenya? Tatu je unajuwa company profile nzima ya mobisol mpaka uje uandike haya hapa?

Ushauri wangu tusipende kuanzisha mada haraka haraka bila uchunguzi Kutengeneza kampuni mpaka ikasimama sio swala la wiki moja mkuu it takes sacrifices and time alafu mtu ana kuja kwa mistari yake miwili nakuandika anacho taka japo ni uhuru wake kujieleza. Juwa kuwa zipo kampuni nyingi sana ikiwepo ninayo fanyia kazi zina hao wakenya tena zipo hapa nchini kisheria wana vibali vyote kisheria wala hawa tumii rushwa ni swala la labor competition tu mkuu, We Tanzanians tuna penda kubebana mno na kubebwa bila kuzingatia kuwa wanao kwenda kuanzia kampuni zao wana target zao hence they need the required man power and skills kufikia malengo.

So hawa wezi kuja kukubeba kisa ni mtanzania wakati wanajuwa output yako ni ndogo kisa tu ni mtanzania while wao wako kufanya yao ili wafanikiwe hiyo ni BIG NO, watafwata sheria wata kwenda nje wata tafuta wanao wataka wata wapa offer letter ita pelekwa wizarani kibali cha kazi kita tolewa.

Kama kuna mahali nimekosea na karibisha marekebisho maana haya ni mawazo yangu.
 
Sioni kama kulikuwa na haja ya kutaja kampuni ya watu moja kwa moja maana ni kama unaichongea ukitegemea na aina ya uongozi tulio nao sasahivi. Ila swala hili ningependa nilirudishe kwako mwenye uzi huu je kabla ya kuandika uzi huu hauna personal conflict na hawa mabwana (mobisol), mbili ulifanya research ya kutosha kuwa ni mobisol tu inaendeshwa na mkenya...
Msumari wa moto huu. Umeandika vizuri sana
 
Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.

Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Wasomi wa Kitanzania unaowasema ni hawa wanaoogopa kuvaa barakoa mbele ya Magufuli?

By the way hata Barick inaongozwa na Mzungu au hilo haujui? Au hakuna Watanzania wa kuongoza kampuni kama Barick?
 
Kampuni ya mwekezaji yeyote hupewa nafasi baadhi za juu alete watu wake mwenyewe ndio maana utakuta kanpuni nyingi za wawekezaji wa nje ma MD wengi huwa wa nje na baadhi ya nafasi za juu


Hata kampuni za ndani huwezi lazinisha MD awe msomi aweza weka hata mwanae darasa la saba!!! eti umpangie Azam mfano aweke MD eti msomi ulimsaidia kumpa mtaji? Aweza weka hata aliyeishia darasa la pili aendeshe!!
 
Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.

Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Kwani hiyo kampuni ni ya serikali au ya mtu binafsi ? Kama ni ya mtu binafsi sio Sawa kumpangia Nani WA kumuajiri , maana yy ana maamuzi nayo pia yy hajakutuma kusoma ni maamuzi yako
 
Sioni kama kulikuwa na haja ya kutaja kampuni ya watu moja kwa moja maana ni kama unaichongea ukitegemea na aina ya uongozi tulio nao sasahivi. Ila swala hili ningependa nilirudishe kwako mwenye uzi huu je kabla ya kuandika uzi huu hauna personal conflict na hawa mabwana (mobisol), mbili ulifanya research ya kutosha kuwa ni mobisol tu inaendeshwa na mkenya?...
Alinyimwa kazi baada ya kushindwa kuwasilisha vyeti vya electronics, alisomea kompyuta games! Mbaya zaidi alisema yeye hataki mshahara posho itamtosha mambo mengine yatajiseti mbele ya safari!
 
Alinyimwa kazi baada ya kushindwa kuwasilisha vyeti vya electronics, alisomea kompyuta games! Mbaya zaidi alisema yeye hataki mshahara posho itamtosha mambo mengine yatajiseti mbele ya safari!
Mkuu nimecheka kichiz, so kama sababu ndio hizo kwanini aje kuharibu kampuni ya watu kwa mistari yake miwili sio poowah kabisa.
 
Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.

Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Politics+vyeti vya kununua+low IQ
 
Mkuu

Kenyans are well educated and on top of that they are educated in English

Skills+English communication skills make them super relevant to the world and the world relevant to them.

In Tanzania,we are not well educated...Our education system is poorer than that of Kenya

On top of that,our English skills is in ICU,of which is a defacto world's lingua fanca

Mobisol is a Kenyan/International company,not a Swahili company,putting an ill-educated scumbag with no English capabilities as a CEO is nonsense!

Kwenye soko la maCEO we cant compete with well educated people,our education is inferior,giving out inferior people as outputs!

CEO is a special job,company is betting on its CEO,not some low level position to drive the company

The company is looking for the most qualified human being available at a company's available budget

We Tanzanians can not quiet cut the list,like literally cant....this is a FACT!

And stop giving me China sijui Russia bullshit.....the world need these Chinese more than Chinese needing us,the law apply,the outside have to comply with Chinese cultural intricacies....

Now,the world need TZ or Kenya?

No,Kenya and TZ have to put themselves ready and relevant to what the world wants

In this,Kenya is doing the better job and guess what,they are following up Singapore's blueprint!

TZ?I'm sorry
You are a liar there are many Kenyans who hold or have held high position in Kenya who studied in Tanzania like chief justice of Kenya Wacko and Raila Odinga etc

Tanzania has produced many African presidents who studied in Tanzania like Museveni of Uganda .Kabila of Congo ;President John Garang of Southern Sudan etc there are many you cant compare youself with Tanzania when it comes to producing presidents!!!! our education is superior to yours .You produce technocrats we produce presidents
 
Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.

Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Vigezo na masharti kuzingatiwa, kuwa Mtanzania tu haitoshi kuwa MD.
 
Walimwaga ugali yeye kamwaga mboga, wote wakose liwalo na liwe.
Mkuu kampuni sio duka. hahahahahahahahah kuangusha kampuni kijinga hivyo sio rahisi mambo ya kampuni sio kama vile una endesha kiduka cha mangi bro ni zaidi ya hapo. Please jitahidi kufahamu mambo zaidi soma kuhusu Company ni zaidi ya unavyodhania
 
You are a liar there are many Kenyans who hold or have held high position in Kenya who studied in Tanzania like chief justice of Kenya Wacko and Raila Odinga etc

Tanzania has produced many African presidents who studied in Tanzania like Museveni of Uganda .Kabila of Congo ;President John Garang of Southern Sudan etc there are many you cant compare youself with Tanzania when it comes to producing presidents!!!! our education is superior to yours .You produce technocrats we produce presidents
Hao uliowataja hawakuja kusoma walikuwa wakimbizi, akina Odinga ni wakati wa elimu ya Cambridge, silabasi na mitihani vilitoka Cambridge.
 
Back
Top Bottom