mluhilaseko2020
Member
- Feb 22, 2021
- 55
- 151
Hili ndilo jibu sahihi. Ingekuwa kanisani tungesema "hili ndilo neno la Bwana" na misa inafungwaHiyo kampuni ya sola inamilikiwa na nani? Ana hisa ngapi kwenye kampuni? Kama ni kampuni kutoka nje imekuja nchini kuwekeza ni dhahiri itatafuta MD mwenye elimu ujuzi na uzoefu lakini mtu mwenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza makampuni, Watanzania wenye tunu hiyo kwenye ukanda wetu bado ni wa kuhesabu kwenye vidole.
Msumari wa moto huu. Umeandika vizuri sanaSioni kama kulikuwa na haja ya kutaja kampuni ya watu moja kwa moja maana ni kama unaichongea ukitegemea na aina ya uongozi tulio nao sasahivi. Ila swala hili ningependa nilirudishe kwako mwenye uzi huu je kabla ya kuandika uzi huu hauna personal conflict na hawa mabwana (mobisol), mbili ulifanya research ya kutosha kuwa ni mobisol tu inaendeshwa na mkenya...
Wasomi wa Kitanzania unaowasema ni hawa wanaoogopa kuvaa barakoa mbele ya Magufuli?Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.
Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Kwani hiyo kampuni ni ya serikali au ya mtu binafsi ? Kama ni ya mtu binafsi sio Sawa kumpangia Nani WA kumuajiri , maana yy ana maamuzi nayo pia yy hajakutuma kusoma ni maamuzi yakoHivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.
Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Alinyimwa kazi baada ya kushindwa kuwasilisha vyeti vya electronics, alisomea kompyuta games! Mbaya zaidi alisema yeye hataki mshahara posho itamtosha mambo mengine yatajiseti mbele ya safari!Sioni kama kulikuwa na haja ya kutaja kampuni ya watu moja kwa moja maana ni kama unaichongea ukitegemea na aina ya uongozi tulio nao sasahivi. Ila swala hili ningependa nilirudishe kwako mwenye uzi huu je kabla ya kuandika uzi huu hauna personal conflict na hawa mabwana (mobisol), mbili ulifanya research ya kutosha kuwa ni mobisol tu inaendeshwa na mkenya?...
Mkuu nimecheka kichiz, so kama sababu ndio hizo kwanini aje kuharibu kampuni ya watu kwa mistari yake miwili sio poowah kabisa.Alinyimwa kazi baada ya kushindwa kuwasilisha vyeti vya electronics, alisomea kompyuta games! Mbaya zaidi alisema yeye hataki mshahara posho itamtosha mambo mengine yatajiseti mbele ya safari!
Politics+vyeti vya kununua+low IQHivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.
Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
You are a liar there are many Kenyans who hold or have held high position in Kenya who studied in Tanzania like chief justice of Kenya Wacko and Raila Odinga etcMkuu
Kenyans are well educated and on top of that they are educated in English
Skills+English communication skills make them super relevant to the world and the world relevant to them.
In Tanzania,we are not well educated...Our education system is poorer than that of Kenya
On top of that,our English skills is in ICU,of which is a defacto world's lingua fanca
Mobisol is a Kenyan/International company,not a Swahili company,putting an ill-educated scumbag with no English capabilities as a CEO is nonsense!
Kwenye soko la maCEO we cant compete with well educated people,our education is inferior,giving out inferior people as outputs!
CEO is a special job,company is betting on its CEO,not some low level position to drive the company
The company is looking for the most qualified human being available at a company's available budget
We Tanzanians can not quiet cut the list,like literally cant....this is a FACT!
And stop giving me China sijui Russia bullshit.....the world need these Chinese more than Chinese needing us,the law apply,the outside have to comply with Chinese cultural intricacies....
Now,the world need TZ or Kenya?
No,Kenya and TZ have to put themselves ready and relevant to what the world wants
In this,Kenya is doing the better job and guess what,they are following up Singapore's blueprint!
TZ?I'm sorry
Walimwaga ugali yeye kamwaga mboga, wote wakose liwalo na liwe.Mkuu nimecheka kichiz, so kama sababu ndio hizo kwanini aje kuharibu kampuni ya watu kwa mistari yake miwili sio poowah kabisa.
Vigezo na masharti kuzingatiwa, kuwa Mtanzania tu haitoshi kuwa MD.Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.
Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Mkuu kampuni sio duka. hahahahahahahahah kuangusha kampuni kijinga hivyo sio rahisi mambo ya kampuni sio kama vile una endesha kiduka cha mangi bro ni zaidi ya hapo. Please jitahidi kufahamu mambo zaidi soma kuhusu Company ni zaidi ya unavyodhaniaWalimwaga ugali yeye kamwaga mboga, wote wakose liwalo na liwe.
Hao uliowataja hawakuja kusoma walikuwa wakimbizi, akina Odinga ni wakati wa elimu ya Cambridge, silabasi na mitihani vilitoka Cambridge.You are a liar there are many Kenyans who hold or have held high position in Kenya who studied in Tanzania like chief justice of Kenya Wacko and Raila Odinga etc
Tanzania has produced many African presidents who studied in Tanzania like Museveni of Uganda .Kabila of Congo ;President John Garang of Southern Sudan etc there are many you cant compare youself with Tanzania when it comes to producing presidents!!!! our education is superior to yours .You produce technocrats we produce presidents