Mobisol, kampuni inayoongozwa na MD Mkenya. Watanzania hatuwezi?

inuka au kaa ila wakenya ni very hard working na pia wafatiliaji sana na wana strategy nyingi sana..
kuna kampuni flani ya kuku wa kisasa ilikufa kabisa yaani dead end!ila alikuja mkenya hapo aliifufua ile kampuni from the ground.nakwambia kw sasa ndio kampuni ya chicken farm inaongoza hapa mitaa ya kaskazini.
wakenya kweli ni very dedicated kwenye kazi kuliko wabongo ambao ni KAZI NA BATA nyingi sana
 
You are not tanzanian,
You said that our education system are poor,
Am opposite side of your view,
You must love which the best your country tried to give.
Our motto,being a patriotic person needs sacrifice and time.

Thank you.
 
Hao uliowataja hawakuja kusoma walikuwa wakimbizi, akina Odinga ni wakati wa elimu ya Cambridge, silabasi na mitihani vilitoka Cambridge.
Tanzani maraisi na mawaziri wetu wakuu na makamu wetu wa rais wengi wamesoma Tanzania jiulize kama elimu ya Kenya ni nzuri kwa nini maraisi wao na makanmu wao wa raisi na mawaziri wakuu wao wengi wamesoma vyuo vya nje ya kenya kwa nini? Kama elinu yao ni bora?
 
Wasomi wa Kitanzania unaowasema ni hawa wanaoogopa kuvaa barakoa mbele ya Magufuli?

By the way hata Barick inaongozwa na Mzungu au hilo haujui? Au hakuna Watanzania wa kuongoza kampuni kama Barick?
Wasomi wanafiki wanaogopa kufanya jambo kinyume na mkuu wao.
 
You are not tanzanian,
You said that our education system are poor,
Am opposite side of your view,
You must love which the best your country tried to give.
Our motto,being a patriotic person needs sacrifice and time.

Thank you.
Umejitahidi kuutema ila sasa nyunyuzia sanitaiza kuondoa baadhi ya maneno yasiostahili kuwepo kama ....em are po.... na mengine.
 
Hicho si kigezo, unaweza ukawa na make mzuri kuliko wote mtaani kwako lakini ukawa unaongoza kulala nje mtaani kwako! Mbona kuna wazungu wanaokuja kusoma Tanzania! Ni utashi tu, hata hivyo walisoma Kenya mpaka elimu ya juu, Nyerere alisoma Uganda na Uingereza Tanzania hatukuwa na chuo japo elimu yetu kuanzia msingi mpaka ya juu ilikuwa inatoka Cambridge! Je unajua kuwa kati ya marais wa makaburu mmoja alisoma Mbeya! Shule iliyojulikana kwa jina la Mbeya European Boarding Primary School! Hivi sasa IYUNGA.
Sasa utaona mapya wanaanzisha somo la historia ya Tanzania japo hawaijui historia yenyewe, kitakacho kuwemo kwenye historia hiyo ni siasa!
 
Kusoma siyo passport ya kuwa employed. Kuna factors nyingi za consider siyo kwa sababu ni mtanzania

Unaweza kuwa umesoma lakini bado hujaelimika!! Hao ndio wasomi wetu, si unaona wanashindwa kuishauri serikali sio kwa kukosa weledi bali kwa yoga!!
 
Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.

Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
I can tell ni ya ovyo sana, hawana PR nzuri ukiwapigia simu
 
Angepewa mtu wa Kanda ya ziwa Basi ingejaa watu wa Kanda ya ziwa tu. Ahh si mnaona?
Angepewa mtu wa kusini ingesha kufilia mbali. Angekua mchagga hapo, naogopa kusema
 
Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.

Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Yaan vikana wa PA,PSPA, HRs, wejaa kibao mtaan watashindwaje kuongoza mobisol
 
Je wewe unaweza? Tuanzie hapo
 
Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni.

Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
Mobisol ,inakufaa soon. Chezea REA . Umeme kuunganishia 27,000 wakati mitambo wa solar mobisol unaumwa 2.7milion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…