Mobisol Tanzania: Achana na mishumaa! Pata mtambo wa solar kwa mkopo

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Kampuni ya Mobisol Tanzania; tunawajali Watanzania kwa kuwapatia huduma ya mitambo ya solar kwa mkopo wa gharama nafuu.

Wasiliana nasi tukuhudumie. Masharti yetu ni nafuu na mitambo yetu ni ya uhakika (toka Ujerumani)

Mob Tangazo.jpg
 
Naijua hii kitu vizuri sana ki solar cha 250k utakopeshwa kwa 850k

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna unachokijua ...
Sisi Mtambo mdogo una pannel ya Wats 40 unawasha taa 5 na unapewa na TV inch 22
Mtambo wa juu kabisa una pannel wats 200 na unasupport taa 20 unapewa na Tv ya inch 43.
Hivyo unavyovijua sijui ni vitu gani?
 
Sasa mkuu ungeweka hayo masharti specific kwamba mnakopesha kwa utaratibu upi na bei yake n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna unachokijua ...
Sisi Mtambo mdogo una pannel ya Wats 40 unawasha taa 5 na unapewa na TV inch 22
Mtambo wa juu kabisa una pannel wats 200 na unasupport taa 20 unapewa na Tv ya inch 43.
Hivyo unavyovijua sijui ni vitu gani?
Taja bei ya mtambo was 40W na 200W. Malipo kwa mwezi in sh ngap
 
haa mkuu ndio bas au tangazo litaendelea!?
 
Taja bei ya mtambo was 40W na 200W. Malipo kwa mwezi in sh ngap
Unataka kwa cash au kwa mkopo?
Unataka kulipia kwa muda gani? (kuna mwaka mmoja, miwili, mitatu na mnne)
 
Unataka mtambo wa ukubwa gani?
 
Mr Tutor B naifahamu Mobisol ndani nje.Kwa utaalam wangu sitegemei kuiona Mobisol miaka minne mbele.Muundo wao wa kibiashara si rafiki kwao na Kwa wateja wao.Lazima wabadili gia waishi sokoni.Sokoni wapo Sundar,Oceanic na Prosolar na hali zao sio njema Soko linadidimia Kila uchao.Ushauri wangu lazima mpunguze gharama Za uendeshaji mtengeneze bidhaa imara bila udanganyifu mtaishi sokoni Kwa muda.
 
Maybe umwambie wewe m naona hanielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom