Mobisol Tanzania: Achana na mishumaa! Pata mtambo wa solar kwa mkopo

Ahsante kwa ushauri.
Ila kumbuka mitambo yetu ni ya kiwango mkuu.
 
Akijibu mniambie maana hao jamaa hatari juzi tuu milifika kijijini Kwa wazazi ilibidi hiyo mitambo yake niinyofoe niweke kwenye kiroba na Huyo agent wao akipita hapo atakuta vitu vyake. Blaa blaa sana saambili tuu usiku mitambo haina nguvu
Unatumia mtambo wa ukubwa gani?
Mimi natumia mtambo wa 80W; sijawahi kupata tatizo la mitambo kuzima. Au labda hapo uko sehemu ina kivuli sana.
 
Maybe umwambie wewe m naona hanielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote nawaelewa wakuu
 
Huo mtambo wako unaweza kuendesha mashine inayotumia 400 volts? Nijulishe upesi tafadhali
 
Hakuna unachokijua ...
Sisi Mtambo mdogo una pannel ya Wats 40 unawasha taa 5 na unapewa na TV inch 22
Mtambo wa juu kabisa una pannel wats 200 na unasupport taa 20 unapewa na Tv ya inch 43.
Hivyo unavyovijua sijui ni vitu gani?
Mbona husemi bei, acha ujanja ujanja mkuu, ki ukweli Mobisol solar ni ghali kuliko kawaida, mtambo mdogo uliosema ni STS na inaongoza kwa ubovu, mitambo mikubwa ya WT 200 ina bei mpaka 5M sasa masharti nafuu ni yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mwongo, mtambo mdogo ni 1,122,000- na mkubwa sh. 3,486,000- uwe unapost unachokijua - hata Leo mwelewa kalipia na kufungiwa. We endelea kudanganyika na tanesco
 
Ninawashauri chukueni hii kitu ni nzuri sana.
Nilichukua wa 200W nikalipia tuu ela ya mwanzo kama laki nne na ushehe hivi....nikachakachua......hadi leo sijalipia hata 100 natumia buuuuure.
Ni miaka 5 now umeme haukatiki.

Ukitaka maujanja unafanya lkn ukidakwa......ni balaa
Moto Ni zaidi ya TANESCO
 
Ninawashauri chukueni hii kitu ni nzuri sana.
Nilichukua wa 200W nikalipia tuu ela ya mwanzo.....nikachakachua......hadi leo natumia buuuuure.
Ni miaka 5 now umeme haukatiki.

Ni zaidi ya TANESCO
Hawaelewi Hawa - wamelogwa na tanesco
 
Mtambo IPO ya kutosha, upaatapo habari hii mjulishe na mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…