Nilimanisha iliyo nafuu kwa Ubora kuliko hizo zingine!Nunua bidhaa zilizotengenezwa Ujerumani, hizo za nafuu unazohitaji hutodumu nazo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo iliyotengenezwa German ni Brand gani?
Wanapenda nafuu kwa sababu hata helimu waliyo nayo waliipata bure.Nunua bidhaa zilizotengenezwa Ujerumani, hizo za nafuu unazohitaji hutodumu nazo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko maeneo gani? Hakuba kitu Cha namna hiyo, Soma vizuri mkataba wako udai haki zako.Mm nilifunga hlo limtambo lao shamban kwng Hawa jamaa ni ovyo sn.ukiwapigia una tatizo kushughulikia ni hasi. Ovyo ovyo plus
Sent using Jamii Forums mobile app
Helimu? Ulifanya interview kweli ww? Au ndio mjomba nshike mkonoWanapenda nafuu kwa sababu hata helimu waliyo nayo waliipata bure.
Natamani hiyo watts 80 kwa mkopo,kianzio sh ngapi?Uko maeneo gani? Hakuba kitu Cha namna hiyo, Soma vizuri mkataba wako udai haki zako.