Mobius motors - kenya's first car company

wow! Put more efforts because there are many experienced competitors who have monopolized the market and they are not ready to see or hear this.
 
Sisi tulianza awali kabisa na Nyumbu. Tumefikia wapi?

Big up kwa kaka na dada zangu wa Kenya!

Kiongozi Jeshi bado wanaendelea na Nyumbu. Hapo katikati wali-slow down lakini sasa hivi unaendelea.
 
Unajua taizo hapa ni utanda wizi. Watu wanahitaji kitu confiscated! Pia production cost ni kikwazo kwetu.
 
where is my NYUMBU CARS?CANT SEE THEM ON THE STREET
can someone tell me who proposed this name "NYUMBU"(a wilbeast)cant separate the real wild beast behaviour and things that face this unattained project-
 
Viwanda vya magari sasa siyo deal kabisa.

Mtafilisika sasa hivi na hiyo biashara. Labda muanze kwanza na viwanda vya STEEL na ndipo mje huko.


The price is right. It should work fine--especially with everybody's support in the region. Kuna mtu anaenda kuumizwa hapo. Toyota, Mahindra na Landrover. This is quite a good business feat! Who's behind the assembly? Is is Tata? Or Jie Fong.
 


Baelezeye ya kwamba in fwact hata sisi tuna nyumbu tuliunda kitaambo tilisahau tu kutangaza! ila chuma kwa kweli waje kununua!
 
Hilo Jina NYUMBU ni la kuchekesha. What does it mean? Lol! sorry my friends we do not need your steel, we have plenty of steel mining in Taita taveta and we can get even cheaper steel from INdia.
 
The Nyumbu Truck looks great and the Mobius too, guess these will be hardy mobiles ideal for the rough African terrain. We are slowly getting somewhere.

Good positive comment. We are indeed going somewhere! Najua Nyumbu ni corporation ya serikali ya Tanzania chini ya jeshi. Hii Mobius ipo chini ya nani? mbona mleta uzi hataki kueleza hilo? Is it a Tata subsidiary or a Kenyan SU?
 

All two Nations you mention, they are Kings of Steel. India through Mittal Brothers they have bought many Steel industries in Europe and they went on buying Cars Industries such us Rover, Jaguar, BMW Formula 1, and also they have Force India team in Formula 1. Tata now is a big name.

Many Car industries are sold in take away price. I'm not sure what happen with Volvo and Hammer because no body wanted to buy those fabrics. I know today if you have money, you can go to area like Russia or Ukraine and buy for take away chain production of this things and you take to Africa. That was my meaning and not ROHO MBAYA. I cross my finger for you guys to make thing different not like Swedish Cars, USA Cars etc. All the best.

Sisi tutawa provide na steel, kiwanda kikubwa kinakamilishwa hapo Bwagamoyo.

Mkuu, hapo sasa. Ukishakuwa na Steel na ujuwe kucheza na ALLOYS, basi wewe hufi njaa. Utatengeneza magari, computer, mashine za aina kibao kama Mchina anavyofanya sasa hivi. Ukianza kwanza na Steel na ndiyo uje viwanda vingine, unapunguza sana gharama. Ngoja sisi tuanze kwanza na steel kwani navyo kwa sasa bei yake sokoni inawezekana na siyo siri tena kama zamani. Ila kwenye Alloys hapo itabidi kusota saana kwani akina BMW, Benz, Toyota nk ndipo wanapotupiga magoli kwani hizo alloys ni nzuri sana kuzidi Steel. Ndiyo maana hata Dreamliner wametumia hizo alloys kuiunda ili iwe nyepesi. Airbus pia wanaenda hukohuko kwenye Alloys.

The price is right. It should work fine--especially with everybody's support in the region. Kuna mtu anaenda kuumizwa hapo. Toyota, Mahindra na Landrover. This is quite a good business feat! Who's behind the assembly? Is is Tata? Or Jie Fong.
The price vs durability is always killing this small fabric. I will prefer used VW or Toyota Corola rather than buying New Fiat or Dacia from Rumunia. But in market, 10 years used Toyota Corola is the same price with new Dacia. This car after 5 years will be useless.

Don't joke with Tata now. Apart of being owner of Land Rover, they also own this car, one of the best car in the world, JAGUAR......

 





Who owns Mobius? Mbona nauliza tangu asubuhi sipati jibu? Hii ni gari ya jeshi ya Kenya kama sisi Nyumbu? au ni Wahindi wana assemble hapo kwa niaba ya Tata? Ni gari za nani?

Mwembetayari yupo wapi? Naomba kujua jamani....its just out of curiosity.
 

Mobius is not spearheaded by the military, about founders, its a blend of Kenyans and a couple of white people.
Tata and Jiefong (or whatever that name is are not involved)...its a group of mechanics making it big.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…