Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Mtoa mada hajanywa dawa zake kwa wakati, zaire ndio ilikuwa chini ya Mobutu.Nilidhani Rais wa kwanza wa Kongo ni Kasa Vubu....hadi kuna wimbo.
Ninaenda kudai karo yangu.
Oouh...sawa sawa.Mtoa mada hajanywa dawa zake kwa wakati, zaire ndio ilikuwa chini ya Mobutu.
kasavubu ni wa drc.
nili wahi kukutana na teacher wa kikenya, alikuwa ana fundisha history that guy was great.Oouh...sawa sawa.
Maana hawa walimu wa historia wanaongea saana. Nikajua walinimezesha marais wa uongo.
Shukrani mkuu.
Hongera kwa kupata kuingia milango ya English Medium....sie tumejisomea wenyewe licha ya kubebeshwa fagio za chelewa na kuni za walimu.nili wahi kukutana na teacher wa kikenya, alikuwa ana fundisha history that guy was great.
hakuwa ana fundisha tu, ni kama ilikuwa virtual learning of what happened way back.
tuachane na masomo, siku hizi mbona hufanyi jf interviews?Hongera kwa kupata kuingia milango ya English Medium....sie tumejisomea wenyewe licha ya kubebeshwa fagio za chelewa na kuni za walimu.
Sababu kuu ni majukumu kuzidi...naperuzi JF kwa nadra saana.tuachane na masomo, siku hizi mbona hufanyi jf interviews?
maana zilikuwa nzuri, na zenye kuelimisha.
take your time, utu bless hata 1-2 ndani ya mwezi,Sababu kuu ni majukumu kuzidi...naperuzi JF kwa nadra saana.
Kama una muda unaweza kufanya. Anza na watu wanaotrend kwa wakati huo...sema wasiliana na uongozi kwanza kabla.
Upo sahihi hayo yalitokea baada ya mobutu kuwepo madarakani muda mrefu.Nilidhani Rais wa kwanza wa Kongo [DRC] ni Kasa Vubu....hadi kuna wimbo. Kasaaaa vubu woiiiii woiiii
Ninaenda kudai karo yangu.
Aaah.... sio rocket science...yeyote anaweza kufanya.take your time, utu bless hata 1-2 ndani ya mwezi,
muda ninao ila napenda kusoma Sana siku hizi, kingine uli fanya kwa level ya juu sana siwezi haribu mzani wako.
shida sio kufanya, jibu ni una weza kufanya zaidi au kama kile kilicho kuwa kina fanywa!Aaah.... sio rocket science...yeyote anaweza kufanya.
Zama zetu zishapita...