Mobutu Seseseko: Somo zuri kwa viongozi wetu wa sasa

Viongozi gani wa sasa: system ya utawala wa Mobutu haipo katika sehemu zetu hizi: Burundi, Tanzania, Kenya, na hata Uganda na Rwanda ingawa kule bado kuna strongment, lakini utawal wao siyo kama ule wa Mobutu kuweza kuwa fundisho.
 
Angalia kwanza hiyo clip halafu njoo na hoja
 
Mobutu Seseseko alikuwa akiwahonga akina franco na tp ok jazz ili wamsifie

Inanikumbusha hawa bongo fleva wetu wa hapa
 
Angalia anavyomgeuka Patrice Lumumba yani hadi machozi yananilengalenga
mkuu hiyo ndio nature yetu binadamu,Mobutu anasapotiwa na mmarekani,Lumumba mrussi,tafuta clip anahojiwa CIA chief in Congo anasema alipokea Maelekezo Lumumba auwawe ,lakini cha ajabu baadae Marekani ilijitoa lawamani,Congo inapaswa kuwashitaki wamarekani kwa kifo cha Lumumba
 
Afrika sijui tulilaaniwa na nani kwenye uongozi
 
mkuu hiyo ndio nature yetu binadamu,Mobutu anasapotiwa na mmarekani,Lumumba mrussi,tafuta clip anahojiwa CIA chief in Congo anasema alipokea Maelekezo Lumumba auwawe ,lakini cha ajabu baadae Marekani ilijitoa lawamani,Congo inapaswa kuwashitaki wamarekani kwa kifo cha Lumumba
Nilichokielewa aliambiwa ammalize kisiasa ila Mobutu akapata fursa ya kumuua kabisa

Cha kushangaza baadae Mobutu huyohuyo anajifanya kumuenzi Lumumba kumbe unafiki haujaanzia CCM
 
Angalia kwanza hiyo clip halafu njoo na hoja
Nilishaziona video nyingi sana za Mobutu za Kiingereza; infact hiyo uliyoleta niliwahi kuileta hapa JF mwaka jana kwenye thread nyingine, zitafute. Wewe umeileta opene ended kama system ya uongozi ambayo ni misleading. Ungezungumzia sehemu hiyo yakuependelea Chato kama Mobotu alivyopendelea Gdabolite, ungejibiwa tofauti. Uamuzi wa kujenga Gdabolite na uamuzi wa kujenga Chato havifanani kabisa. Gdabolite ilikuwa ni uamuzi wa Mobutu mwenywe wakati uamuzi wa Chato ni wa Bunge la Tanzania. Tatizo liko kwenye Bunge letu, kwani iwapo Bunge lisingeidhinisha pesa za kujenga Chato, wasingejenga. Ubishi huo ulisababisha mpaka kuleta kumbukumbu za Hansards hapa JF wewe zitafute zinazonyesha kuwa Bunge liliidhinisha miradi ya Chato kizembe. Ingawa kulikuwa na maswali kuwa kadha kuhusu namna bajeti ilivyoandikwa kuwa na loopholes, bado ilikuwa ni wajibu wa bunge kuziba loopholes hizo kabla ya kuidhinisha pesa hizo. Nimekuwa nawahimiza watu kutafuta habari siyo kwa confirmation bias, bali kila jambo tuwe tunaliangalia kutoka neutral position. Ni kweli uwanja ule wa Chato unaweza kuwa White elephant huko mbeleni, lakini haina uhusiano kabisa na utawala wa Mobutu. Tanzania tumewahi kuwa na miradi ya white elephant mingi tu isiyokuwa na idadi, na bado tunaendelea.
 
Franco baada ya kuhongwa na Dikteta Mobutu ili aimbe nyimbo za kumsifia
Hili linanikimbusha jamaa fulani asiposifiwa na wasanii kama kina Roma anawatuma kikosi kazi chake ili kuwatia adabu
 
Nilishaziona video nyingi sana za Mobutu za Kiingereza; infact hiyo uliyoleta niliwahi kuileta hapa JF mwaka jana kwenye thread nyingine, zitafute. Wewe umeileta opene ended kama system ya uongozi ambayo ni misleading. Ungezungumzia sehemu hiyo yakuependelea Chato kama Mobotu alivyopendelea Gdabolite, ungejibiwa tofauti. Uamuzi wa kujenga Gdabolite na uamuzi wa kujenga Chato havifanani kabisa. Gdabolite ilikuwa ni uamuzi wa Mobutu mwenywe wakati uamuzi wa Chato ni wa Bunge la Tanzania. Tatizo liko kwenye Bunge letu, kwani iwapo Bunge lisingeidhinisha pesa za kujenga Chato, wasingejenga. Ubishi huo ulisababisha mpaka kuleta kumbukumbu za Hansards hapa JF wewe zitafute zinazonyesha kuwa Bunge liliidhinisha miradi ya Chato kizembe. Ingawa kulikuwa na maswali kuwa kadha kuhusu namna bajeti ilivyoandikwa kuwa na loopholes, bado ilikuwa ni wajibu wa bunge kzuiba loopholes hiz kabla ya kuidhinisha pesa hizo. Nimekuwa nawahimiza watu kutafuta habari siyo kwa confirmation bias, bali kila jambo tuwe tunaliangalia kutoka neutral position. Ni kweli uwanja ule wa Chato unaweza kuwa White elephant huko mbeleni, lakini haina uhusiano kabisa na utawala wa Mobutu. Tanzania tumewahi kuwa na miradi ya white elephant mingi tu isyokuwa na idadi, na bado tunaendelea.
Mimi siko hapa kwa ajili ya ligi ila nimeiangalia video hio ikanikumbusha Burigi
 
Ww na Akili yko ya kawaida tu uoni km jamaa ameboresha tu mbinu yke kwa kutumia bunge hkn tofauti kote kwenye utawala wa mtu mweusi ni Laana tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The-first-prime-minister-of-independent-Congo-Patrice-Lumumba-arrested-and-then-murdered-on-Ja...jpg

Macho ya Patrice Lumumba yataendelea kuwaadhibu madikteta wa Afrika

R.I.P Patrice Lumumba
 
Azory Gwanda na wengineo wengi wamepitia mateso kama ya hayati Patrice Lumumba
 
Back
Top Bottom