Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo eneo la Burigi mpaka kiswa cha Rubondo yamekuwa ni Game Reserves kwa siku nyingi sana, labda jamaa kasaidia kuyatangaza yajulikane na probably kuya-upgrade kuwa National Parks. Kabla ya mwaka 1980 yalikuwa maeneo ya kuwinda, lakini muda mfupi baada ya vita Nyerere akayaidhinisha kuwa Game Reserves.Mimi siko hapa kwa ajili ya ligi ila nimeiangalia video hio ikanikumbusha Burigi
Hayo maeneo yamejaa wawindaji wa kihutu na hakuna wa kuwasemeshaHilo eneo la Burigi mpaka kiswa cha Rubondo yamekuwa ni Game Reserves kwa siku nyingi sana, labda jamaa kasaidia kuyatangaza yajulikane na probably kuya-upgrade kuwa National Parks. Kabla ya mwaka 1980 yalikuwa maeneo ya kuwinda, lakini muda mfupi baada ya vita Nyerere akayaidhinisha kuwa Game Reserves.
Atiii, alikuwa kitombi?[emoji16][emoji16][emoji16]Jana nimeangalia hii film .Namuona Magufuli kabisa ndani ya Mobutu. Kujiona yeye ndo yeye. Yeye ndo Jiwe. Mobutu aliwauwa wote waliompinga,alikuwa kitombi mpaka wake wa mawaziri,mabalozi wake. Ila yote yana mwisho.
Kumbe mnatujuaga tabia zetu na mnatuita majina yetu kabisaa! ke'' kutamka hili neno lazima ''me'' yeyotealipo isimame! japo kwa muda mfupi! hata km avatar haipo, na physically sikujui!!!alikuwa kitombi mpaka wake wa mawaziri,mabalozi wake.