Karibu tena.
Ila usisahau kwenda kwa mganga kuizindika,maana siku hizi watu wanaroga hadi magari.Huku Zanzibar kuna Gerage zinawaganga maalum wa kienyeji.
Maana unakuta gari kila ikitengenezwa inaharibka hapo hapo,basi anaitwa inapigiwa manyanga au Kitabu mpaka kielewe.siku ya pili mwendo mdundo njiani.Maana gari inatolewa hirizi,duhhh
Ifanyie maombi maalum.(Not Joke,siku hizi watu waanroga hadi magari,wengi ni wapinzani wenzako na baadhi ya ndugu kwenye familia)
Kama huamini tafuta mfano mdogo wa dereva wa bodaboda,lazima atakuambia kenda kwa Babu kupiga chuma kwanza)