Zote ziko sawa kabisa hamna tofauti labda majina yake tu.
Mkuu Konzogwe ahsante sana kwa ushauri wako na ushirikiano uliouonyesha toka mwanzo wa thread. Ushauri wenu umenisaidia sana na nafikiri sasa nitafanya maamuzi sahihi. Ahsanteni sana wakuu.
Karibu tena.
Ila usisahau kwenda kwa mganga kuizindika,maana siku hizi watu wanaroga hadi magari.Huku Zanzibar kuna Gerage zinawaganga maalum wa kienyeji.
Maana unakuta gari kila ikitengenezwa inaharibka hapo hapo,basi anaitwa inapigiwa manyanga au Kitabu mpaka kielewe.siku ya pili mwendo mdundo njiani.Maana gari inatolewa hirizi,duhhh
Ifanyie maombi maalum.(Not Joke,siku hizi watu waanroga hadi magari,wengi ni wapinzani wenzako na baadhi ya ndugu kwenye familia)
Kama huamini tafuta mfano mdogo wa dereva wa bodaboda,lazima atakuambia kenda kwa Babu kupiga chuma kwanza)
Townace Noah.......ndo yenyewe ile ujue ni plastic tu ukikutana na kitu SCANIA ujue utachanwa mpaka utumbo
Mkuu chukua Toyota noah model 1998 hii ni mpango mzima .hakuna mfano .ile gari ni roho ya paka na ucjaribu kununua noah ya kuanzia 2002 hayafai kabisa ni maboksi ni gari mbovu sana.ila 1998 model ni kiboko ninayo moja .ile gari ni mwisho .ukiwa tayari tuwasiliane ninauza zipo kwenye yard yetu