modeling

modeling

niwaellyester1

Senior Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
123
Reaction score
22
nimeshindwa topic yangu niiweke wapi , ila mie naomba ushauri wa masuala ya modeling ,yaani napenda sana modeling na hata umbo langu naona linaruhusu pia , nina 21yrs, ni mwanachuo, kwa sasa niko mwanza , wakati mwingine huwa nakuwaga dar au mtwara, naomba ushauri nianzie wapi kupeleka kipaji changu
 
nadhani mfunyukuzi ataweza kukusaidia kwa hili
 
Back
Top Bottom