Models mpya za Laptop(OmniBook) zilizoingia, ni habari mpya mjini kwa wanaotaka Laptop mpya tu

Models mpya za Laptop(OmniBook) zilizoingia, ni habari mpya mjini kwa wanaotaka Laptop mpya tu

Verified Gadgets

New Member
Joined
Jun 8, 2022
Posts
4
Reaction score
5
Nimekaa Siku Moja Dukani Akaja Mteja Akiwa anahitaji Laptop Ambayo itakuwa Mpya Na Yeye Ndio Atakuwa Mtumiaji Wa Kwanza…Moja Kwa Moja Nikaona Nimuonyeshe Hp OmniBook Na Badae Alinishukuru kwa Hilo.

Ni Laptop Nzuri Sana Pia Colour Yake Ni Sky Blue..Processor intel Core Ultra 5(New Processor Chip Kutoka Intel) Somo La Siku Nyingine Hilo.

Ila Ni Moja Ya Laptop Ambayo Sio Laptop Tu Bali Ni Investment! Kwa price Pia Zinaanzia 2,500,000/-Tsh

Imeandikwa Na
Verified 0765 283 198☎️

IMG_9948.jpeg
 
Back
Top Bottom