Models Vacancy- Part Time !

Models Vacancy- Part Time !

Turabiturabi

Member
Joined
Jun 15, 2010
Posts
25
Reaction score
1
A company needs female models for advertising and media.For part time basis.
Request email via pm.
 
maelekezo zaidi jinsi ya kupata hiyo kazi pliz!!!!!!!!!!
 
nahisi hizo ni mbinu zako mpya za kuibua vimwana wakali, hamna kazi wala nini.
mamodo kweli wanatafutwa jamii forum?
kwanini usipeleke kwa shigongo au michuzi?
kibaya zaidi unataka watu waku pm dah.. kazi kwelikweli
 
A company??? Name less! why dont you put the required qualifications and adress? some people have their identities hidden in this site, by asking them to PM and then come for interview(s) will automatically reveal their identity which they have hidden for reasons. Be careful girls.
 
Jamaa anataka kuwachakachua dada zetu, au ndio wale wasanii wanaoandaa FILAMU za KIBONGO kila siku wanatanga mashindano ya WAIGIZAJI WATAKAO SHIRIKI KWENYE FILAMU MPYA kumbe wapi, wanataka watu wapya wa kuwachakachua.
 
Back
Top Bottom